Bingwa mtetezi wa Australian Open (wanawake), Naomi Osaka, amevuliwa rasmi ubingwa baada ya kupoteza mchezo wa hatua ya tatu ya mashindano ya mwaka huu.
Osaka alikuwa uwanjani kuchuana na chipukizi, Amanda Anisimova katika mchezo wa mzunguko wa tatu. Anisimova aliingia uwanjani akiwa amepoteza michezo 9 dhidi ya wachezaji waliopo kwenye nafasi 20 bora. Osaka kwa upande wake, alikua ameshinda michezo 24.
Osaka amevuliwa rasmi ubingwa wa Australian Open kwa kupoteza mchezo kwa seti 4-6 6-3 7-6 (10-5) na sasa, Anisimova atachuana na Ashleigh Barty katika mchezo wa hatua ya 16 bora.
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.
CHEZA HAPA