Rafael Nadal anasimama mbele ya malejendari wa mchezo wa tennis baada ya kumshinda Daniil Medvedev kwenye fainali ya Australian Open na kuweka rekodi ya kushinda Grand Slam yake ya 21.

Rafael Nadal ambaye alitokea nyuma na kuweza kushinda, kwenye mchezo uliochezwa kwa saa tano na dakika 24 kwenye dimba la  Rod Laver Arena, Medvedev alianza vizuri kwenye set mbili za mwanzo kwa kuongoza kwa 6-2 na 6-7 kabla Nadal hajapindua matokeo kwenye mchezo huo uliochezwa kwa set tano na set tatu za mwisho zilitosha kumpa ubingwa.

Rafael Nadal

Nadal kwenye set ya pili aliamaka kama mtu aliekimbia kifo na kuanza kurudisha mashambulizi kwa mchezaji bora namba mbili duniani na kuupeleka mchezo kwenye tiebreak huku Medvedev akipoteza mara kadhaa kwenye tibreak.

Kwa sasa Nadal ni mchezaji wa tennis mwenye Grand Slam nyingi kuliko yeyote, na amefanikisha taji lake 21 kwenye ardhi ya australia, huku wanaomfuatia ni Roger Federer na Novak Djokovic ambao wana Grand Slam 20 kila mmoja.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa