Tetesi za Soka Barani Ulaya.

 

Tetesi zinasema, Arsenal wanawalenga wachezaji wawili wa England, Dominic Calvert-Lewin,24 na Ollie Watkins, 25, lakini inakabiliwa na kibarua kigumu kuwatoa Everton na Aston Villa.

Manchester City, Chelsea na Manchester United wanajiandaa kumuwania mshambuliaji kinda wa Stoke City, Emre Tezgel, 16, ambaye amekuwa akifananishwa na Harry Kane.

Tetesi zinasema, vilabu vya ligi ya Primia vitapambana na Bayern Munich kumnasa kiungo wa kati wa Kijerumani, Florian Wirtz anayekipiga Bayer Leverkusen.

 

Liverpool wanafikiria uhamisho wa mshambuliaji wa Serbia Dusan Vlahovic, ambaye mazungumzo kuhusu mkataba wa mchezaji huyo,21, yamevunjika Fiorentina.

Tetesi zinasema, Arsenal bado wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Club Brugges Noa Lang, 22, na AC Milan pia inavutiwa naye.

Tetesi zinasema, Borussia Dortmund wameamua kubaki na mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland, 21, hadi mwaka 2023.

Kiungo wa kati wa England na Tottenham, Harry Winks, 25 anataka uhamisho wa mkopo kutoka kwenye klabu hiyo mwezi Januari na yuko tayari kwenda nje ya England.

 

Mustakabali wa muda mrefu wa nyota wa Ufaransa, Kylian Mbappe bado utategemea Paris St-Germain baada ya mazungumzo kati ya mama wa mchezaji huyo, 22, kukubali na mabingwa wa Ufaransa kuhusu mkataba mpya kwenda vizuri.

Barcelona itamuuza beki wa Ufaransa Samuel Umtiti katika majira ya baridi mwezi January. Mchezaji huyo wa miaka 27 hajacheza hata dakika moja katika ligi ya La Liga msimu huu.


SPACE SPIN NA MERIDIANBET.

Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.