Tetesi zainasema, Liverpool wanapanga kumpatia mkataba mpya mchezaji wa kimataifa wa Senegal Sadio Mane, 30. Mkataba wa sasa wa mshambuliaji huyo unamalizika baada ya msimu ujao.

Tetesi zinasema, Liverpool wamempigia simu kiungo wa kati wa Barcelona na Uhispania Gavi, 17 kuhusu uwezekano wa kuhama majira ya kiangazi.

Mkuu wa Borussia Dortmund Sebastian Kehl anasema Manchester City hawajafikia mkataba wa kumsajili mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland, 21.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Afisa Mkuu mtendaji wa Bayern Munich Oliver Kahn anasema klabu hiyo haina uwezo wa kifedha kumsajili Haaland. Kahn pia amethibitisha kuwa klabu hiyo iko kwenye mazungumzo ya mkataba na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Poland Robert Lewandowski, 33.

Tetesi zinasema, West Ham wako tayari kutoa dau la kumnunua mlinzi wa Manchester United Muingereza Di’Shon Bernard,21, ambaye kwa sasa anachezea Hull City kwa mkopo.

Tottenham wanamfuatilia mchezaji wao wa zamani na kiungo wakati wa sasa wa Brentford Christian Eriksen, 30. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Denmar kanapania kurejea Spurs.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema, Arsenal wanapanga kumnunua winga wa Lille Mkosovo Edon Zhegrova, 23.

Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Everton na Brazil Richarlison, 24, amewaambia mawakala wake kumtafutia klabu mpya.

Newcastle wanajiandaa kufufua tena mpango wao wa kumsajili beki wa Torino Gleison Bremer. Kiungo huyo wa Brazil wa miaka 25- pia ananyatiwa na Arsenal na Tottenham.

Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti anasema kiungo wa kati wa Croatia Luka Modric, 36 angependelea kustaafu soka katika klabu hiyo.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa