Tetesi zinasema Kiungo wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba, 27, anataka kujiunga na Barcelona kwa uhamisho huru dirisha lilajo la usajili la majira ya joto.
Kiungo wa Arsenal, mjerumani Mesut Ozil, 31, mapema mwezi huu alikataa ofa ya mshahara wa £200,000 kwa wiki kuondoka kwa washika bunduki hao na kutua Ligi ya Saudi Arabia (SPL).
Mlinzi wa Ujerumani Antonio Rudiger, 27, amesema anataka kurejesha nafasi yake ndani ya kikosi cha Chelsea baada ya uhamisho wake kukwama katika dirisha la usajili lililopita.

Tetesi zinasema mshambuliaji wa Manchester City na Argentina Sergio Aguero, 32, hana mpango wa kuhamia Italia licha ya kusakwa na klabu ya Inter Milan ya ligi ya Serie A.
Chelsea wanajiandaa kuanza mazungumzo ya kuongeza mkataba na kiungo wake kutoka Italia, Jorginho, ambaye alihusishwa na mipango ya kuhamia Arsenal wakati wa dirisha la usajili lililopita.
Tetesi zinasema Meneja wa zamani wa Juventus Max Allegri anaweza kuwania nafasi ya Ole Gunnar Solskjaer , kama Manchester United watamtimua kocha wake huyo.

Mshambuliaji wa Liverpool na Switzerland Xherdan Shaqiri, 29, amesema aliamua kubaki kwenye klabu yake wakati wa usajili wa majira ya joto, licha ya kuhusishwa kutaka kuondoka kwa mabingwa hao wa ligi kuu ya Engalnd.
Manchester United haikuwasilisha ofa yoyote kwa ajili ya mshambuliaji wa Bayern Munich na Ufaransa Kingsley Coman, 24, wakati wa dirisha la usajili, anasema mkurugenzi mtendaji wa klabu hiyo ya Ujerumani Hasan Salihamidzic.
Tetesi zinasema West Brom imekubaliana ada ya uhamisho ya karibu £15m na klabu ya Huddersfield kwa ajili ya uhamisho wa mshambuliaji wa Kiingereza Karlan Grant, 23.

Tetesi zinasema Juventus imeungana na Manchester City katika mbio za kumuania mlinzi wa Bayern Munich na Austria David Alaba, 28.
Liverpool wako tayari kumuachia kwa mkopo Harry Wilson , lakini ilikataa ofa ya Swansea City kwa ajili ya winga huyo mwenye umri wa miaka 23.
Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua.



Dorophina
Itakuwa poa sana Pogba kwenda huko Barcelona
Adelta
Pogpa Ni kijana makini sana atafanya mabadiliko mengi
Lydia Emmanuel Magoti
Pogba wewe baki tuu hapo hapo man U upige mpila
Venerose
Pogba nenda kafanye kazi
Sauda
Barcelona wakimpata Pogba watakuwa wamelamba dume
Caroline
Asante kwa taarifa
Fatina mfingi
Pogba namkubali sanaa
Angelina
Goodupdate
latifa juma mohamed
Asanteni kwa taarifa.
Mwajumah
Pogba yupo vizuri sana nenda kafanye kazi
Shani
Ni kiungo mahiri hongera kwake
Tatu
Man u wakimuuza pogba watakuwa wamekosea
aisha
Barcelona kama ni kweli basi vizuri
Fatuma kasomo
Asante kwa taarifa meridianbet
Ernest
Pogba ndani ya Barca ni kisanga kingine
Sabrina
Kapige Kazi pogba
felister
mmmh sidhani Kama man u wataweza kumuuza pogba
David Pere
Barcelona wakimpata Pogba watakuwa wamelamba dume
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif meridianbet
magdalena
pogba nae atulie tu united
Saupha mohamed
Taarifa njema
zeiyana
ozil hanawakati mgumu sana kuondolewa arsenal
Hopemwaikuka
Timu zifanye usajili makin
Povel
Nice updated