Manchester United wakiwa nyumbani Old Trafford wameshinda mechi mbili tu kati ya mechi zao sita za mwisho za Ligi dhidi ya Southampton
Southampton wamepoteza mechi nyingi zaidi (26) na wameruhusu mabao mengi zaidi (82) dhidi ya Manchester United kuliko timu nyingine yoyote kwenye historia ya Ligi hiyo.
Manchester United wamepoteza mechi moja tu kati ya michezo yao ya mwisho 15 ya ligi wakiwa nyumbani (W9 D5), wakishinda mechi nne za mwisho mfululizo kwa jumla ya mabao (13-2).
Manchester United hawajapoteza katika mechi zao 17 za mwisho kwenye mashindano yote (W13, D4) – wamewahi kuwa na fomu hii bora zaidi mnamo Machi 2013 chini ya Sir Alex Ferguson (Mechi 18 bila kupoteza).

Manchester United wamepata penati 13 kwenye Ligi msimu huu; hakuna timu ambayo imewahi kupata idadi kubwa zaidi ya hiyo kwenye msimu mmoja katika mashindano haya – pia, Leicester msimu wa 2015-16 na Crystal Palace 2004-05 walipata penati 13.
Southampton wameshinda mechi moja tu kati ya michezo yao 23 ya ugenini katika Ligi dhidi ya ‘Big Six’ ( D5, L17), mara ya mwisho kushinda ilikuwa dhidi ya Chelsea 2-0 huko Stamford Bridge mnamo Disemba 2019.
Bruno Fernandes amehusika moja kwa moja katika magoli 13 katika mechi zake 10 za kwanza EPL, idadi kubwa katika historia ya Ligi hiyo baada ya Mick Quinn.
Mshambuliaji wa Southampton, Danny Ings amaefunga mabao 19 kwenye Ligi msimu huu na anaweza kuwa mchezaji wa pili wa Southampton kufikia mabao 20+ katika msimu mmoja baada ya James Beattie kufanya hivyo mnamo 2002-03 (23).
Odds za ubashiri wa mechi hii, hapa Meridianbet
Man U ashinde = 1.26
Southampton ashinde = 9.50
Sare = 5.55
Zaidi ya goli 3+ = 1.5
Kuna ofa kibao unazofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet Jiunge sasa kufurahia ofa zetu.
Bonyeza HAPA Kujiunga.


devotha
Southampton ashinde 9.50 odds ya kibabe kama hii naiyacha vp? huu ni mpira lolote linaweza kutokea uwanjani
Furahav
Hii mechi ya leo ni km fainali,mana man u wanaitaji nafac ya nne au ya 3.
Hope mwaikuka
Axante kwa habar
Issa
United kama kawa mbio top3
Povel tz
Don’t miss
Rehema
Asante kwa habari
Magdalena
Mtanange huu ulikuwa matata Sana wa vuta nikuvute ingawa walitoka sare ila ilikuwa balaa
Gabriel
Unaweza kusema ni vita ya Wadachi kati ya Louis van Gaal dhidi ya Ronald Koeman katika mchezo utakaopigwa kwenye uwanja wa Old Trafford kati ya Manchester United dhidi ya Southampton, mchezo unaotarajiwa kuwa wa kusisimua kwani timu hizi mbili zimepishana kwa alama moja tu kwenye msimamo wa ligi.
Manchester United wanaoshikilia nafasi ya tatu wakiwa na alama 37 kwenye msimamo wa ligi wanatarajiwa kuingia kwenye mchezo huo kutafuta alama tatu muhimu na kuzidi kuzikimbiza Manchester City na Chelsea kileleni.
Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal kwenye mchezo huo atamkosa Ashley Young ambaye aliumia kwenye mchezo wa mwaka mpya dhidi ya Stoke City na hivyo anatarajiwa kuwa nje kwa muda wa wiki nne mpaka sita huku kipa mpya wa timu hiyo Victor Valdes akitarajiwa kuwepo kikosini.
Wachezaji wengine wa United; Rafael, Luke Shaw, Marcos Rojo, Daley Blind, Maroune Fellaini na Antonio Valencia ambao walikuwa majeruhi kwasasa wanaendelea vizuri kuelekea mchezo huo dhidi ya Southampton.
Kwenye mchezo huo takwimu zinaonyesha United hawajafungwa katika michezo 10 iliyopita ya ligi huku wakishinda michezo saba na kutoka sare michezo mitatu.
Pia takwimu zinaonyesha mshambuliaji wa United Robin van Persie amefunga magoli saba katika mechi saba alizocheza dhidi ya Southampton kwenye ligi.
Kikosi cha kocha Van Gaal kinaweza kuwa hivi: De Gea; Jones, Smalling, Evans; Shaw, Carrick, Rooney, Di Maria; Mata; Van Persie, Falcao.
Kwa upande wa Ronald Koeman kocha wa Southampton, kwenye mchezo huo atawakosa Sadio Mane, Jay Rodriguez na Sam Gallagher ambao ni majeruhi pia mlinzi Maya Yoshida atakosekana baada ya kwenda kushiriki michuano ya kombe la Asia na timu ya taifa ya Japan.
Pia kocha huyo ataweza kuwajumuisha kikosini Nathaniel Clyne na Jack Cork ambao walikuwa majeruhi huku Eljero Elia aliyesajiliwa kwa mkopo kutoka Werder Bremen pia akitarajiwa kuwepo kikosini kwa mara ya kwanza toka aliposajiliwa.
Mpaka sasa Southampton wanashika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi wakiwa na alama 36.
Kuelekea mchezo huo takwimu zinaonyesha Southampton wamefungwa michezo sita na kutoka sare michezo miwili kati ya michezo minane iliyopita waliyocheza dhidi ya Man United.
Pia takwimu zinaonyesha kiungo wa Southampton James Ward-Prowse ametoa pasi tatu za magoli yaani “goal assist” katika michezo mitatu iliyopita ya ligi.
Kikosi cha kocha Koeman kinaweza kuwa hivi: Forster; Alderweireld, Fonte, Clyne, Bertrand; Wanyama, Davis, Ward-Prowse; Tadic, Elia; Pelle hivyo mtanange utakuwa mkal sana
Hamidu
Top 3 EPL hiyo kwa man utd#meridianbettz
Franky
Mpira dk90 sasa apo itajulikana nani kijogoo
Revina
Kwa uchambuzi ni sawa kwa timu zote lakini mpira dk90 ndo jibu linapatikana
sabrina
hii sio ya kukosa
fatumakasom
Siyakukosa
Edgar
Nakubali
Amiri Kayera
Man u leo kaz kaz
Latifa juma mohamed
Hii ni mechi ya peke yake maan man ulazima leo akaze ili afikie position anayohitaji kila la kher man u
Njiku
Ipo poa hii
Samiah
Hii cyakuikosa
Genia Sikaluzwe
Muhim ni point3 top
Ernest
Ukiangalia historia unaweza kusema Man U wanamechi nyepesi Sana lakini balaa lake sio dogo
Omary lukumbi
Man United tupo imara tunataka point 3
tumaini
Hi yo mechi yakibabe odds ziko pouwaa
David Pere
Uchambuzi upo vizuri Sana na Mimi naongezee kuwa Man U lazima ashinde ili ajihakikishishie nafasi ya tatu ili washiliki UEFA msimu ujao
Tahiya
Muhimu ni point 3 apo
Dorophina
Mpira ulikuwa wakibabe mpaka waka toka sale
isha
Kazi ilikua ngumu maana sio powa
Ester jackson
Manchester walicheza kiwango kinachotakiwa sana
Zeiyana
Manchester united wanashikilia nafasi ya tatu wakiwa na alama 37 kwenye msimu huu wa ligi wanatarajiwa kuingia kwenye mchezo huo kutafuta alama tatu muhimu na kuzidi na kuzidi kuzikimbiza man chester city na Chelsea hii na habari nzuri kwa mashabiki wa man tuaona kabisa Manchester yetu ile ya zamani inarudi
Genia Sikaluzwe
Muhim ni point3 top
Lydia Emmanuel Magoti
Huo mtanange ulikuwa wakukata nashoka
felister
nilitamani awa watoto wafunge hii mechi
caroline
asanteni meridianbet kwa kutufanyia uchambuzi kwa mechi hii
Angelina
Ilikuwa bonge la gemu
Zuhura omary kindamba
Ilikua mechi nzuri sana kwetu mashabiki
Evaluziga
Asanteni kwa taarifa
Isaya massawe
Man united kapoteza dakika za mwishoni kabisa
Flomena
Man alizingua hii game dakika za mwisho
Salma
Hapa kazi ipo
Saupha mohamed
Taarifa mzuri
Asia Abdy
Wacha tuone
Mwanahamisi
Iko poa hii
Fatina mfingi
Makal nzur
farida ahmadi
Hii mechi itakuwa ngumu kidogo man u wasifanye masihara kabisah inabidi wajipange
Saupha mohamed
Man u tupo fitiii