Bwana Sloti, nakuja kwako nikiwa na maneno juu ya Sloti nyingine kwa ajili yako, ambayo imepewa jina baada ya “Water World”

Sasa katika gemu hii tunawinda na kusaka mali zilizo majini, samaki, mastaa wa bahari, konokono na kufurahia kadri tuwezavyo! Imetengenezwa vizuri kiasi cha wewe kuhisi unafurahia katuni badala ya Sloti ya Kasino

Hebu tuanze mwanzo kabisa! Kama ilivyo kwenye sloti zingine nyingi, uwezekano mkubwa wa kushinda unono unapatikana katika mizunguko ya bure, Hapa unahitaji kupata alama 3 zilizo kama kombe.

Ukipata alama 3, 4, 5 unapata mizunguko 20 ya bure na wakati wa mizunguko hii ya bure unaweza kushinda tena mizunguko mingine 20 ya bure! Inafurahisha eenh?

Alama ya Wild hutokea mara kwa mara na kwenye sloti hii. Alama zinaonekana kama ngome zilizopo chini ya maji ikiwa na jina la gemu katika hizo alama, inachukua nafasi za alama zote wakati wa gemu isipokuwa alama ya Scatter.

Hata hivyo, alama ya Wild, inayofahamika zaidi kama alama ya Joker ni “Stacked Wild Symbol” kwenye gemu hii. Neno hili tunaliona mara kwa mara ambalo linaweza kuwekwa kwa urahisi zaidi kama alama ya Wild (Joker) ambayo inajitokeza kwenye sehemu moja lakini inaweza kuonekana kwenye nafasi mbili au Reel yote kabisa.

Alama za Scatter. Alama za Wild. Mizunguko ya Bure. Unajiuliza je nini ni tofauti zake?

Vitu vingi ni vipya na si vya kawaida kwenye sloti hii. Alama za Stacked Wild (Joker) zinatokea wakati wa gemu, hata wakati wa mizunguko ya bure, alama ya “Super Stacked Wild” hujitokeza pia.

Alama ya “Super Stacked Wild” ni alama 4 zilizochaguliwa na zenye thamani zaidi kwenye gemu hii, ambazo zinaweza kutokea wakati wa mizunguko ya bure kwenye sehemu moja, mbili au zote tatu kwenye reel moja, kama vile ilivyo kwa alama ya Wild kwenye gemu. Ikiungana na alama ya Wild, inalipa mara dufu.

Alama ya Wild inatokea kwenye reel yote ya kwanza, lakini, baada ya hii, kwenye reel ya pili, reel ya tatu na kwenye reel ya nne na kwenye reel ya 5 alama ya Samaki wa 3 wa Bluu ” inatokea. Kiasilia, hapa inatokea “Big Win” yaani bonge la ushindi.

Miunganiko 243 ya ushindi, Mchezo wa kujiendesha wenyewe, na pia, machaguo kibao ya ubashiri, mizunguko ya bure pamoja na ushindi mara dufu, muonekano maridadi, grafiki nzuri, picha zinazoakisi uhalisia na sauti nzuri sana. Hii ni gemu kamilifu kwa mashabiki wote wanaosaka furaha inayodumu na udhindi!


 

KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

75 MAONI

  1. Weeeh mambo ya slot hatari free game mpango mzima ndio tunataka namuweke nyingi sio chache mana unazungusha mchezo hata raund 10 bila kupata free game mziachie zitoke Mara kwa mara

  2. Sasa katika gemu hii tunawinda na kusaka mali zilizo majini, samaki, mastaa wa bahari, konokono na kufurahia kadri tuwezavyo!

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa