Victor Wanyama Kiungo Mkenya na Nahodha wa Montreal Impact ya Marekani, anatajwa kua ni mmoja wa Wachezaji wanaolipwa vizuri katika Major League Soccer (MLS)

Wanyama anaingiza Dola Milioni 3.09 (Tsh. Bilioni 7) kwa mwaka, kati ya kiasi hicho mshahara ni Dola Milioni 2.4 (Tsh Bilioni 5.5) akiwa ndiye Mchezaji anayeingiza fedha nyingi zaidi kwenye timu yake, akishika nafasi ya 14 katika orodha ya jumla ya wanaolipwa vizuri MLS

Victor Wanyama
Victor Wanyama

Nafasi tatu za juu kwa kulipwa vizuri MLS ni Xherdan Shaqiri (Chicago Fire) Dola Milioni 8.15 (Tsh. Bilioni 18.9), Javier Hernandez ‘Chicharito’ (LA Galaxy) Dola Milioni 6 (Tsh. Bilioni 13.9), Gonzalo Higuain (Inter Miami) Dola Milioni 5.79 (Tsh. Bilioni 13.4)


Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa