Mbio za kufuzu Champions League na Europa League kwa timu za Premier League
Leicester, Chelsea, Manchester United,Wolves,Sheffield United, Tottenham na Burnley zina zidi kupamba moto wote wana ndoto ya kufuzu kushiriki mashindano ya Ulaya.
Timu mbili za Premier League tayari zimekwisha jihakikishia nafasi ya kushiriki ligi ya Mbingwa Ulaya msimu ujao, timu hizo ni Liverpool na Manchester City ambao wamethibitisha ushiriki wao kwa kuwafunga Brighton mwishoni mwa wiki iliyo pita.

Lakini bado kuna ushindani wa timu zinazo hitaji kufuzu kushiriki mashindano hayo ya ulaya kwa kukaa nne bora za juu.
Kutwaa taji la UEFA au Europa kunaipa tiketi timu kushiriki Champions League msimu ujao hatakama haipo kwenye nne za juu.
Timu zilizo salia kwenye mashindano hayo ya ulaya ni Chelsea , Manchester United na Wolves.
Mabingwa watetezi wa Champions League Liverpool walitolewa na Atletico Madrid kabla ya michezo kusimama kwa lazima kufuatia kuzuka kwa virusi hatari vya Corona lakini tayari wamesha kata tiketi ya kushiriki UEFA msimu ujao kwa kutwaa taji la Premier League msimu huu.

Kuna njia tatu za kushiriki mashindano Europa League kwa timu za Premier League
Kumaliza nafasi ya tano – atafuzu hatua ya makundi
Kushinda FA Cup – atafuzu hatua ya makundi
Kushinda Carabao Cup – atafuzu hatua ya makundi mzunguko wa pili.
Timu sita zinazo wania kufuzu mashindano ya Ulaya
Chelsea
alama 60
michezo iliyosalia vs Norwich, Livepool na Wolves.
Leicestser City
Alama 59
michezo iliyosalia vs Sheffield United, Tottenham na Manchester United.
Man United
Alama 59
michezo iliyosalia vs Crystal Palace, West Ham na Leicester.
Wolves
Alama 55
michezo iliyosalia vs Burnley,C.Palace na Chelsea.
Sheffield United
alama 54
michezo iliyosalia vs Leicester,Everton na So,ton
Tottenham
alama 52
michezo iliyosalia vs Newcastle, Leicester na C.palace
Kuna ofa kibao sana unzaofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu
Bonyeza HAPA Kujiunga.


felister
shukrani kwa ufafanuzi
Ester jackson
Chelsea anaenda kiubisha hata kama kwa hasaivi yupo vibaya kwa mechi zilizopita
Lydia Emmanuel Magoti
Asanteen meridian kwatarifa nzuri
fatumakasom
Asante meridianbet
Ernest
Hapa Spurs hana chake kabisaaa
Omary lukumbi
Hii vita bado haijaisha mpaka maandishi ya the end
Shafii
Hii vita ni tamu Sana hatujajua hadi sasa nani atainuka kidedea.
Edgar
Asante sana na si twangojea matokeo ya top 4
Isaya massawe
Hapo kazi ipo mm ngoja nisubiri huku taratiibuu kabisa nikipiga hela na meridianbettz
#meridianbettz
Saupha mohamed
Nimeelewa asanteni merdian
Furahav
Hii hatari sana.
Franky
Duh pagumu apoo
sabrina
Asante kwa taarifa
Hope mwaikuka
Cjaelewa vzur
MnonganeJR
Man utd ni team kubwa natumaini top4 Yumo #meridianbettz
Povel tz
Spurs Kama nawaona wanamkimbizah mwiz kmy kmy thnks kwa update
Njiku
Hii kali acha tuonee
Samiah
Ufafanuzi mzuri sanaaa
JULIANA
Ufafanuzi wa kibabe
Amiri Kayera
Iko vzur
Warda
Yaani ni Zaidi ya moto
tumaini
Maoni:mambo bado magum
Mwajuma
Naona haya mashindano yamekuwa mazito sana
Magdalena
Manchester United wahakikishe wanafungua mechi zote zilizobaki ndo wanaweza fuzu kucheza
Dorophina
Dhaa hii ni noma sana mtanange huu sio wa kitoto inabidi man u wajitahidi kufunga mechi zote zilizo salia
Khadija
Hii hatari sana#meridianbettz
Adelta
Hii hatari sana
Mwanahamisi
Hii Kali acha tuone
Latifa juma mohamed
Ahsanten kwa taarifa njema, timu hizo itakuwa km Vita barid maan zote zipo vzr.
Tatu
Habari nzuri
Elika
Ni habari njema sana hii
Genia Sikaluzwe
Habari njema
Fatina mfingi
Habar njema
lombo
gud
isha
Kwenye hii vita hakosi mtu
Angelina
Asante kwa makala#meridianbet
Zeiyana
Kila la kheri chama langu man Chester united
Evaluziga
Shukurani kwa ufafanuzi
David Pere
Chama langu la Man U litatinga UEFA tu
farida ahmadi
Asante kwa taarifa
Salma
Hatari sana
devotha
asante kwa ufafanuzi
Theonestina
Naamini man atafika tu nafac ya nne
Saupha mohamed
Good nwes
Frank Patrick
Team zote zimebakiwa na game ngumu kulingana na viwango vyao vya hv karibuni
caroline
iyo ni vita baridi
mwakalosi
Leicester atupishe tu aende europa tu
Rehema
Duuh! Hii ni hatari