Wolves Yaishushia Kipigo Everton.

Klabu ya Wolverhampton Wanderers ilishuka dimbani kuumana na Everton siku ya Jumapili katika dimba lao la nyumbani na kuicharaza goli 3-0.

Wanderers wamerudi katika moto wao wa kushinda baada ya kupata matokeo mabaya mfululizo, kwenye mechi dhidi ya Sheffield United na Arsenal .

Raul Jimenez ndio alianza kufungua ubao wa magoli kwa mkwaju wa penati kipindi cha kwanza cha mchezo baada Clumsy Lucas kumchezea madhambi Daniel Podence.

Goli la kichwa la Leander Dendoncker likaipa Wolves goli la pili sekunde chache mara baada ya kipindi chapili kuanza, Diogo Jota akakamilisha ushindi wa goli tatu dakika ya 74.

Wolves wamerudi katika nafasi ya sita kwenye msimamo wa EPL, alama tatu nyuma ya Mnachester United waliopo nafasi ya tano, na hii itakuwa nafasi nzuri kwa Wolves kupata nafasi ya Wolves kufuzu kwenye mashindano ya Ulaya msimu ujao.

Na hizi zitakuwa ni habari mbaya kwa kocha Carlo Anceloti, ambaye kwenye kikosi chake aliwakosa wachezaji Mason Holgate na beki wa kati Yerry Mina ambaye alitolewa dakika ya 13 kipindi cha kwanza baada ya kupata tatizo kwenye paja.

Everton wapo katika nafsi ya 11 kwenye msimamo wakiwa na alama 45 nyuma Spurs na Burnley ikiwa tayari wamecheza mech 35 wamesalia na michezo mitatu kuhitimisha msimu Preimier League.


Pata Ofa kibao na meridianbet jiunge sasa!

                                                                          Jisajili Hapa                                                                                   

48 Komentara

    Walistahili maana waliupiga mwingi sana

    Jibu

    Wolves wanatimu nzuri na kuichapa everton ni kawaida na wanazidi kuitafuta nafasi ya kucheza europa

    Jibu

    hongera sana wolves

    Jibu

    Hii wolves naikubali sana.

    Jibu

    Wolves nao wanakuja kwa kasi ya 4G hongera sana kwao

    Jibu

    Mbwa mwitu wanataka kucheza Europa hapo thamani ya Traore itaongezeka#meridianbettz

    Jibu

    Wolves wapo poa saiv

    Jibu

    Duh nili mkataa kwenye mkeka wangu uyo evarton

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa wolves

    Jibu

    Wametisha balaa wako vizuri

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi sanaaa

    Jibu

    Wolves wa moto mno

    Jibu

    Kipigilo c Cha mchezo

    Jibu

    Hongera wolve

    Jibu

    Wolves nilshawatabiria

    Jibu

    Wolves wako vizur watafika mbali msimu uko

    Jibu

    Wolves wamecheza kwa kiwango kizuri sana

    Jibu

    Mkeka wangu Nampa wolves

    Jibu

    Kweli EPL kila mnabe Ana mnabe wake,Yani kila mtu anshindia kwake

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    kipigo cha uhakika aisee hawakuwa na huruma kisa arsenal asiwakaribie wana roho mbaya hawa

    Jibu

    wanataka kucheza Europa hapo thamani ya Traore itaongezeka#meridianbettz

    Jibu

    Da huu mpira auna formula

    Jibu

    Safi wolves

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Wolves wanajitahidi sana#Meridianbettz

    Jibu

    Hongera wolve

    Jibu

    Wolves wanaonekana wana hamasa ya kuingia fainali

    Jibu

    Hongera sana wolves#meridianbet

    Jibu

    Mnyonge mnyogeni lakini haki yeke mpeni wolves now time wako.vizuri sana nawakubali

    Jibu

    Ameshanichania wolves mkeka wangu

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Safi sana#meridianbettz

    Jibu

    ha ha ha ah nilijua tu wolves lazima ashinde

    Jibu

    Raul amekua akitikisha sana msimu huu ni kuweka Wolverhampton kwenye mbio za kushiriki europa league msimu ujao

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Hawa ndo mbweha bhana sana hatari awakopeshi kabisa yani

    Jibu

    Mechi ilikuwa kalii Sana hii hongera Sana wolves

    Jibu

    Hongera sana Wolves

    Jibu

    Everton washachok league

    Jibu

    They dissolve

    Jibu

    Wolves sio wa mchezo Safi Sana endeleen vipigo kwa wengine

    Jibu

    Wolves wapo vizuri sana imekuwa timu ya ushindani ndani ya EPL

    Jibu

    Maoni:safi sana

    Jibu

    Wolves walijipanga vizuri kikosi kilikuwa kimetimia vby

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.