Shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya UEFA limeiondoa timu ya taifa ya Urusi kwenye michuani ya ulaya ya wanawake kwenye michuano ya kufuvu kushiri kwenye mashindano ya kufuzu kombe la Dunia.

Vikwazo walivyowekewa kutokana na vita ya Urusi na Ukraine baada ya FIFA na UEFA kuzizuia timu zote za taifa na klabu kushiriki michezo yoyote inayoandaliwa na mashirikisho hayo mwezi February.

UEFA imethibitisha kuwa nafasi ya timu ya Urusi itachukuliwa na Ureno kwenye michuano ya EURO ya wanawake 2022 ambayo inaandaliwa na Uingereza mwezi july.

UEFA kupitia bodi yake ya wakurugenzi wamechukua maamuzi kuhakikisha hatua wanazochukua ni salama kwa mazingira yote yanayohusika.

Urusi waliomba kuandaa mashindano ya Euro kwa wanaume ya mwaka 2028 au 2032 tangu awekewe vikwazo na maombi yake yote yalikataliwa.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa