Adidas Watambulisha Mpira wa Michuano ya Kombe la Dunia 2022

Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA na Adidas wametabulisha mpira mpya ambao utatumika kwenye michuano ya kombe la dunia nchini Qatar 2022 na kupewa jina la Al Rihla lenye maana ya ‘Safari”

Al Rihla ni mpira wa kumi na nne kutengenezwa na Adidas kwa ajiri ya mashindano ya kombe la dunia, ambapo muudo wake umezingatia zaidi kasi ya nchezi  na kusafiri kwa haraka zaidi ukiwa ukiwa angani kuliki mipira mingine iliyowai kuchezewa kwenye mashindano hayo.

Adidas

Mpira wa Al Rihla umetengenezwa kwa Teknolojia mbili nazo ni

  • CRT-CORE – moyo wa mpira, unatoa kasi, umakini na muendelezo wa uharaka ukiwa mchezoni na usahihi,  huku umbo lake likiweza kukata vyema upepo ukiwa angani.
  • SPEEDSHELL – Umeshona na PU  huku ngozi yake yaje ya nje ikiwa na vipande 20 kwa mfumo, ukibpresha umakini , uimara ukiwa angani ukiwa unazunguka.

Al Rihla kwa mara ya kwanza utatambulishwa pamoja ba wachezaji wa zamani wakiwemo, Iker Casillas, Kaká, Farah Jefry na Nouf Al Anzi pia utatembezwa kwenye majiji 10 duniani yakiwemo Dubai, Tokyo, Mexico City and New York ambapo Adidas wamepangaza kufika.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

 

Acha ujumbe