Romero na Lo Celso Kuikosa Newcastle

Romero na Lo Celso watakosa mchezo kati ya Tottenham dhidi Newcastle United kutokana na majukumu ya kimataifa, baada ya kocha mkuu wa Argentina Lionel Scaloni kuwaita kikosini kwa ajiri ya michezo ya kufuzu kombe la Dunia.

Tottenham walikuwa na matumaini ya kuwa wasingeweza kuwepo kwenye kikosi cha Argentina katika kipindi hiki cha mapumziko ya kimataifa, Argentina watacheza mechi na Peru siku ya ijumaa.

kocha wa argentina Lionel Scalon amesema, kwa namna yeyote Giovani Lo Celso na Cristian Romero hawataachiwa mpaka watakapo maliza majukumu yao ya kimataifa katika mchezo wa kufuzu kombe la dunia dhid ya Peru.

Alinukuliwa akisema hatuwezi kufanya kama tulivyo fanya mara ya mwisho kwa wachezaji wa ligi kuu ya Uingereza, nwezi uliopita niliwaita waje kucheza michezo yote mitatu lakini wachezaji wakanipa wakati mgumu na nikawaruhusa  waende, sasa watacheza michezo yote mitatu.”


 

SPACE SPIN NA MERIDIANBET.

Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

 

Acha ujumbe