Bosi wa Yanga Ahamia Fountain Gate

ALIYEKUWA Mkurugenzi wa mashindano wa Yanga, Thabity Kandoro ametambulishwa rasmi leo na uongozi wa Fountain Gate kuwa Mtendaji Mkuu.

Kandoro aliitumikia Yanga kwa muda mrefu ambapo aliondoka hivi karibuni ndani ya klabu hiyo baada ya kumalizika kwa mkataba wake.

Kupitia kurasa zao mbalimbali za mitandao ya kijamii Fountain Gate wamemtangaza Kandoro kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) wa taasisi hiyo.

Thabit Kandoro amejiunga na Fountain Gate Academy Tanzania na kuwa Mtendaji Mkuu wa masuala yote ya michezo katika Taasisi.”

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.