Katumbi ameingia kuongoza Tp Mazembe mwaka 1997 ni miaka 23 hadi muda huu nakuandikia amefanya maajabu makubwa na ni ashirio kazi kuzidi maneno. Amseshinda Mara tano kombe la Mabingwa Barani Afrika na ameifanya Mazembe kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kucheza fainali ya Kombe la Dunia kwa vilabu. Bado naendelea.

Ameshinda kombe la shirikisho Mara mbili na ameshinda Super Cup ya CAF Mara tatu. Huu ni Mwamba. Anaonekana analijua Soka na Mara kadhaa amepewa Heshima kubwa kutokana na mafanikio yake. Mwaka 2012 alichaguliwa katika Kamati ya FIFA ya Mipango. Mwaka 2013 alichaguliwa katika kamati ya maandalizi ya CAF ambayo alihudumu hadi 2017 pia amehudumu kamati ya Masoko ya CAF.

Mwamba wa Lubumbashi aliweka kiasi cha zaidi ya Bilioni 80 za Kitanzania kujenga uwanja wa Tp Mazembe wenye uwezo wa Mashabiki 18,000. Mbali na mipesa ya kununua wachezaji kutoka kona yoyote ya Afrika Katumbi alianzisha ‘Academy’ na mwaka 2015 vijana 2000 walosajiliwa.
Huyu ndio muwekezaji wa kweli kwenye soka sio siasa zetu wala maneno na kelele kwenye timu bila mafanikio. Umri wa Mazembe ni miaka minne nyuma ya Yanga na mitatu nyuma ya Simba.


mwakalosi
Nikisoma habari kama hizi nikiangalia vilabu vyetu vya mpira vinaniumiza kweli yaani naona bora wangeweka vilabu vya pombe ili wapige siasa zao za uongo na kweli
amon
wamemletea tuhuma nying lakn zote ameweza kushinda,heshima kwake katumbi
David pere
Huyu jamaa pesa anayo na michezo anaipenda Sana Ndio maana TP Mazembe imepata mafanikio mapema sana
Antony Luseno
Katumbi ni miongoni mwa matajiri wanaopenda michezo asa soka,anastahili pongezi kwa kujitoa kwake
Salma
Asante kwa taharifa
SADICK
Moise Katumbi amepata mafanikio kila alichofanya maishani ,kwenye siasa , biashara n.k #Meridianbettz
Furahav
Daah huyu katumbi anafaa kuigwa na jamii.
Evaluziga
Asanten meridian kwa taarifa nzuri
lombo
dah kwel katumbi katsha
Theckla
Ukiwa na moyo wakujitoa kwa ajili ya wengine hata Mungu anakubariki
Ester
Kweli kabisa wengine wanatakiwa kuwa kama katumbi au kuwa zaidi ya yeye
Dorophina
Katumbi anajitoa sana katika timu hiyo na anahakikisha timu inapata mafanikio
Rehema
Nashukuru kwa kutujulisha habari njema
Gabriel
Nice update 👍#meridianbettz
Elika
Moise katumbi ni jembe.mwamba wa Lubumbashi hakika anajitoa sana na ana roho nzuri Mungu ambariki
Khadija
katumbi anafaa kuigwa#meridianbettz
Rehema Dickson
Big boss 😎
aisha
Katumbi mtu mbaya
Genia skaluzwe
Katumbi yuko vizuri
Tatu
Mtu mwenye pesa zake na mwenye kuipenda michezo
Zeiyana iddi
Katumbi hanapesa na hanapenda michezo
Ernest
Katumbi ni mfano wa kuigwa hapa kwetu Tanzania kwani amekuwa akijitoa kwa hali na Mali juu ya TP Mazembe.
Ernest
Katumbi ni mfano wa kuigwa hapa kwetu Tanzania kwani amekuwa akijitoa kwa hali na Mali
Lydia Emmanuel Magoti
Katumbi ni mfano wa kuigwa bos uyo anapesa
Amani
ameifanya Mazembe kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kucheza fainali ya Kombe la Dunia kwa vilabu.#meridianbettz
Hamidu
Mpira wa sasa unahitaji m2 mwenye pesa Kama moise katumbi..funzo kwa timu za Tanzania# meridianbettz
Juliana
Aise huyu jamaa ni mzalendo kweli,
Maana amejitoa kwa moyo,
Na ndio watu wanaohitajika dunian.
Hope mwaikuka
Katumbi pesa inaongea na anajitoa kwakwel
Neema juma
Anastahili hongera jamani
Magdalena
Safi Sana mfano wa kuigwa
#meridianbet
Asia Abdy
Mungu ambariki
frank patrick
Hivi kitu kama hiki kinawezekana kweli kwenye soka letu la hapa bongo
Agness
Habari njema
Samiah
Nihabari njema
felister
kutoa ni moyo sio utajir unaweza ukawa nacho lkn ukawa na moyo wa birika hongera katumbi
Theonestina
Nice
Povel
Moise katumbi ni mfano wa kuigwa kwa upande wetu wa afrika mashariki na Kati kwn ni mmoja watu waliopata mafanikio mwenye sehemu zte alizoegemeah mfano michezo,biashara,siasa thnks meridian kwa update
Ester mmakasa
Mtu kama huyu ndo anaetakiwa na mtu kwasababu anajali watu wengine ,kiukweli ni mfano wakuigwa ,tenda wema uende zako.
Shafii
Anastahili pongezi katumbi kwa kuifanya mazembe ipate mafanikio makubwa kwenye mchezo wa mpira wa miguu
Mwanaidi
Safi sana hivo ndio inatakiwa na ameifanya iwe na mafaniki pia
Warda
Kama Mooo vile
nasra
Apewe pongezi kwa hili
Tahiya
Mpira pesa Katumbi anadhiirisha ilo yuko vizur
Emmy cleopa
Katumbi yupo vizur sana
Mwajuma
Hakika nimfano wakuigwa
Mariam mtandama
Asante kwa taarifa meridianbet #
Swai
Mungu atamuongezeaa
Devotha
Asante kwa taarifa