Wakala wa Paul Pogba Mino Raiola ameanza mazungumzo na Juventus kuhusu uhamisho, lakini Real Madrid na Paris St-Germain pia wanamtolea macho kiungo huyo wa Machester United, 27. (Le10sport – in French)

Bayern Munich inaweza kuingilia mipango ya kocha wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer kumsajili winga wa Borussia Dortmund Jadon Snacho, 20. (Sun)
Barcelona wako tayari kuwauza wachezaji wao sita msimu huu wakati huu ambapo hali ya kifedha katika klabu hiyo ni mbaya kwasababu ya virusi vya corona. (Marca)
Wakala wa Sergio Aguero amekana taarifa kuwa mshambuliaji huyo, 31, wa Manchester City ataondoka Etihad msimu huu, kukiwa na tetesi zinazomhusisha kurejea Argentina. (Mirror)

Kiungo wa kati wa Chelsea Willian, 31, anasema kuwa kukataa kwa klabu yake kumpa mkataba wa miaka mitatu zaidi kumemfanya kuwa katika mazingira ”magumu”. (Esporte Interativo, via Metro)
Manchester United sasa wanapenda kumsajili beki wa kati wa Napoli Kadou Koulibaly, 28, baada ya PSG,Barcelona na Real Madrid kujiondoa kwenye mbio za kumnasa mchezaji huyo. (Sun)
Mashetani wekundu pia wamefanya mazungumzo na wakala wa kiungo wa Juventus Adrien Rabiot, huku Arsenal na Everton nao wakionesha nia na mchezaji huyo. (Mirror)
Arsenal wanamfukuzia mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa klabu ya Ajax mwenye thamani ya pauni milioni 20 Nicolas Tagliafico,27.(Mirror)
Kiungo Ainsley Maitland-Niles ,22, anatarajiwa kuwaacha washika bunduki dirisha la usajili litakapofunguliwa baada ya kuingia kwenye mzozo chini ya kocha mpya Mikel Arteta. (Star)
Real Madrid wanafikiria uhamisho wa mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa klabu ya Celtic raia wa Norway, Kristoffer Ajer,22, baada ya kuonesha kiwango kikubwa kwenye ligi kuu ya Uskoti. (Mundo Deportivo – in Spanish)


Hamidu
j.sancho siku chache zijazo atakuwa Mali ya man utd..huyo dogo fundi wa assist pale Dortmund .anafit kabisa katika mfumo wa ole gunnar# meridianbettz
Antony Luseno
Update nzuri sana #meridianbettz
Tahiya
Ndio wakati wa kutunishiana misuli vilabu vya ulaya kwenye usajir
David pere
Doble p anaondoka kweli au haondoki
Gabriel
Habar njema sana# meridianbet
aisha
Ahsante kwa taarifa
Povel
Thnks kwa update za michezo na burudani
Theonestina
Asante meridianbet kwa taarifa
Salma
Mko vizuri kwa taharifa
Furahav
Pogba nenda tu.
Lombo
mambo n moto
Ernest
Thanks Meridianbet for wonderful news!! Pogba’s life is not at Man U.
dorophina
Tnx meridian bet kwa update
Carolyne
Atariiiii
Ester mmakasa
Mnatukosha sana meridianbet kwasababu tunapata kila taarifa inayotoka.
Magdalena
Good news
Juliana
Gud news 👍👍👍
Emmy cleopa
Hatari
Lydia Emmanuel Magoti
Hatarii
mwakalosi
msimu wa presha na mawakala wa wachezaji kufanya udanganyifu
frank patrick
Tuwekeeni kila siku hizi [email protected]
Genia Sikaluzwe
Mambo mazur na meridianbet
Zeiyana iddi
Pogba..!kwenda real Madrid sio kweli
Devotha
Taarifa nzuri
Rehema Dickson
Habari zote za mpira napata kwenu#meridianbttz
Neema juma
Asante kwa taarifa #meridianbet
Asia Abdy
Makala nzuri
Tatu
Asante kwa taarifa