Marcus Rashford: Manchester United Tumejipanga Vyema

Marcus Rashford amesema Manchester United kwa sasa ni bora zaidi baada ya kipindi cha zuio la Korona kwa ligi kuu ya Uingereza lilitolewa mwezi machi mwaka huu. Kabla ya ya zuio la kuendelea kwa ligi ya Uingereza Manchester unuted ilikua kwenye hali nzuri sana kwa lucheza mechi 11 bila kupoteza hata moja katika mashindano yote.

Marcus Rashford

Mapumziko hayo yamempa Rashford nafasi ya kupona tatizo la Mgongo lililofanya akose kwenye baadhi ya mechi za mwisho kwenye ligi kuu ambapo kwa sasa yuko sawa na tayari kuitumikia timu yake.

Akiongea na mashabiki wa Manchester United Rashford amesema “nadhani baada ya kupumzika nyumbani tumekua na nguvu na hamasa kubwa sana ukilinganisha na ile tuliyomaliza nayo”

“Naamini kila mechi yetu ijayo tutaicheza kwa uangalifu na na kwa umakini kwakua tunajiandaa vema sana tuiwa katika viwanja vya mazoezi”

“kwa mimi binafsi nilikua na wakati mzuri sana kabla ya majeraha na nashukuru nimerudi nikiwa na nguvu na niko tayari kwa mapambano.”

Marcus Rashford

Wakati michezo ikiwa imesimamishwa Rashford ametumia muda wake vyema kwa kufanya mazoezi na kushiriki kutoa misaada ya chakula na vitu muhimu kwa watu wasiojiweza wanaozunguka mji anaoishi.

45 Komentara

    tunataka Matokeo sio maneno

    Jibu

    Ongera sana lashford..!kutoa ni moyo

    Jibu

    Rashford talent player.

    Jibu

    Rashford Mungu atakulipa zaidi kwa moyo wakujitolea ulio fanya

    Jibu

    Rashford unaota nn si MWANITESA UNITED hii ninayo ijua mm bhn

    Jibu

    Ni mtazamo wake tunaisubili tuone

    Jibu

    Tusubiri tuone

    Jibu

    Nimtazamo wake tunasubili matokeo

    Jibu

    Soccer uwanjani sio maneno

    Jibu

    Tunataka vitendo sio maneno

    Jibu

    Tunangoja kuona vitendo na siyo maneno

    Jibu

    Tunasubiri tuone

    Jibu

    Vitendo viwepo

    Jibu

    Tunasubiri kwa hamu

    Jibu

    Man u ilikua inamuhitaji sana rashford ikizingatiwa yeye ndio alikua mfungaji wao muhimu sana kwangu nijambo zuri

    Jibu

    Rashford Ni mchezaji mzuri sn tena mwenye kujituma tunasubili tuone kwanza

    Jibu

    Mashabiki tunawasubili kwa hamu sana

    Jibu

    Itakua vzur sanaa mkiwa hvyo

    Jibu

    Safi Sana tunawasubiri kwa ham

    Jibu

    Wapenzi wa soka tunasubr kwa hamu

    Jibu

    That’s Man united sijui wapinzani wamesikia ayo maneno!

    Jibu

    Jua limeshazama waendeleze huo moto next season

    Jibu

    Rashfod naamini amepona na atakuwa sawa kabisa..utamuona uwanjani akiwa mpya

    Jibu

    Waungwana wanasema maneno yawe machache, vitendo viwe virefu. Nasubiri kuona kwa vitendo uwanjani#meridianbettz

    Jibu

    ngoja tujionee icho unachokizungumzia kina ukweli ndani yake

    Jibu

    Tunasubiri kuona ushindi

    Jibu

    Ni habari ya kufurahisha na tunapata moyo kwamba tutapata kuendelea na burudani kama kawaida.

    Jibu

    Tunataka vitendo maneno baadaye

    Jibu

    Iyo safi sana chama langu nawapa big up bora tulisongeshe gurudumu tumeteseka sana sana tunafungwa adi viande bwana

    Jibu

    rashford namkubali

    Jibu

    Waswahili wanasema mkono mtupu haulabwi mashabiki tunataka vitendo##meridianbettz

    Jibu

    Ashakuwa fiti Ndio maana anajiamini kwa kusema wamejipanga, sawa tutasubiri tuangalie walivyojipanga

    Jibu

    Ngoj tuone bhn thnks meridian bet kwa update za michezo na burudani

    Jibu

    Tuone matokeo yake kwa vitendo

    Jibu

    Rashford fanya vitendo

    Jibu

    Rash mnyama dogo namkubali sana

    Jibu

    Kama mmejipanga Safi Sana Ila ushindi ndo mpango mzima

    Jibu

    Man U mi nawaaminia

    Jibu

    Hatukaki maneno Kama wamejipanga tutakutana uwanjan

    Jibu

    Wapenzi wa kandanda tunasubir tuone

    Jibu

    Zisije zikawa nguvu za soda kama msimu uliopita maana hali ilikua mbaya

    Jibu

    Mashabiki tunataka matokeo mazuri kwa man u.sio stor

    Jibu

    Najua mashabiki wasio ipenda man u wanateseka kweli chuma icho kimewaka Moto muda wote kina unguza man United for life

    Jibu

    Maneno mengi hayahitajikiii hapa. Vitendo ndo habari ya mjinii

    Jibu

    Tunasubir tuone

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.