Korona Sio Tishio Tena Kwenye Ligi Kuu ya Uingereza

Hakukuwa na mgonjwa wa Virusi vya Corona aliyebainika kutoka katika vipimo 1,195 katika raundi ya hivi karibuni ndani ya Premier league. Uchunguzi wa wachezaji na wafanyakazi wa vilabu ulifanyika mnamo 4 na 5 Juni.

Timu zote 20 zilipitia vipimo maalum vilivyohusisha wachezaji, wahudumu na wafanyakazi wote wa timu husika, hii ni kutokana na kua watu wote wanaoshiriki kukamilisha mchakato wa ligi kuu wanatakiwa kuwa salama na ili kuwakinga wahusika hao, Chama cha soka nchini Uingereza kikishirikiana na Idara ya afya nchini humo kiliandaa utaratibu maalum wa kupima kila mtu ambae atakua karibu na timu hizo.

Mtu mmoja alikutwa katika duru iliyopita, na jumla kufikia 13 kutoka vipimo 6,274 tangu walipoanza. Premier league iliyosimamishwa tangu Machi 13, imekusudia kuanza bila Mashabiki mnamo 17 Juni wakati Aston Villa itaikaribisha Sheffield United na Mabingwa watetezi, Manchester City kuzuia mitutu ya Arsenal.

Liverpool iko na alama 25 juu ya Msimamo wa PL, wakati Bournemouth, Aston Villa na Norwich City ziko kwenye eneo la kushuka Daraja, Kuna michezo 92 iliyobaki msimu huu kukamilika.

52 Komentara

    Ni habari njema kwa wapenzi wa soka

    Jibu

    Inapendeza Sana kwa mashabiki wa soka

    Jibu

    Niabari nzuri mungu kafanya miujiza yake anaitajika ashukuliwe

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa EPL

    Jibu

    Good news

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Bora,maisha yarudi km zamani

    Jibu

    Habari njema.

    Jibu

    New updates

    Jibu

    Safi sanaa updates

    Jibu

    Bora ila ni kufuat tyuu kanuni za afya

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Axante Mungu kwa uponyaj wako

    Jibu

    Safi sn tena ni habari njema kwa mashabiki wa mpira

    Jibu

    Tunashukuru ugonjwa umepungua

    Jibu

    Nihabari njema

    Jibu

    Habari njema mungu anaendlea kutupigania..

    Jibu

    Hakika ni furaha kubwa sana

    Jibu

    Kwa atua iliyofikia kwa ajili ya kukabiliana na hili janga Mungu yu nasi

    Jibu

    Corona iishe Tu jamn

    Jibu

    Idadi ni ndogo sana ila tahadhari ni muhimu kufuatwa

    Jibu

    Hureeeee. Tunasubiri kuona wanaume 22 wakipambana uwanjani bila watazamaji#meridianbettz

    Jibu

    ahsante mungu uendelee kutupambania dhidi ya huu ugonjwa utokomee kabisaa

    Jibu

    Ni Jambo la kumshukuru Mungu

    Jibu

    Ni taarifa ya matumaini kwetu sisi mashabiki wa timu mbalimbali.

    Jibu

    Ni habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Mungu aendelee kutupa uzima na afya hili janga lilitupa wakati mgumu na kwa uwezo wake litakwisha kabisa

    Jibu

    corona saiv hana nafasi kashindwa mungu ni mwema

    Jibu

    habari njema

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa EPL#meridianbettz

    Jibu

    Bado ni tishio ti ingekuwa sio tishio mashabiki wangeruhusiwa kuingia uwanjani hapo inaonyesha jamaa bado yupooo

    Jibu

    tunamaliza sasa tutaishi nao tu

    Jibu

    Sisi yetu macho tukisubiri sana kuona kivumbi kikianza tena pale EPL

    Jibu

    Ni habar njema kwa wapenzi wa EPL na wazee wa jamvi

    Jibu

    Ni habari nzuri

    Jibu

    Wawooo hadi raha #Meridianbettz

    Jibu

    Ni habari njema

    Jibu

    Jambo zuri sana tutafurahi kuona ligi inarudi

    Jibu

    Mungu ni mwema

    Jibu

    Hii ndo ligi inayosubiriwa hvyo Kama imethibitisha bac iko poa sana

    Jibu

    Habari nzuri chezeni mpira sisi mashabiki tufurahie

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Makala bomba sana

    Jibu

    hii habari imekaa vizura sana.#meridianbet

    Jibu

    Huu ugojwa ni balaa zito

    Jibu

    Bora maisha yaendelee kama kawaida

    Jibu

    Ni habari njema kwa wapenzi wa soka ili burudani irejee tumemiss Sana mpira

    Jibu

    Habarii njema sana #meridianbet

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Ni habari njema kwa wapenzi wa soka

    Jibu

    Hahahaha noma sana Asante Sana no burdani tu tunasubir

    Jibu

    Jambo la kushukuru

    Jibu

Acha ujumbe