Collina: Mtumishi wa Jeshi la Italia Aliye Staafia kwenye Uamuzi

Kila nikiifikiria habari hukumu kali za waamuzi, kichwani mwangu ananijia muitaliano Perluigi Collina. Yes, referee bora wa mwaka wa FIFA mara sita. Referee bora kuwahi kutokea katika historia ya soka. Referee pekee ambaye hadi anastaafu halaumiwi na timu yoyote kuwa aliwahi kuwaonea.

Perluigi Collina

Aliwezaje? Subiri kwanza, hapa namzungumzia mtu aliyeongeza dakika 3 katika fainali ya UEFA mwaka 1999 pale Camp Nou, Manchester United wakasawazisha na kupata bao la ushindi mbele ya Bayern Munich. Collina ni mtu asiyetingwishwa.

Labda ujasiri wa maamuzi yake ulitokana na maisha aliyokulia utotoni. Si rahisi kulelewa na mama Mwalimu na baba askari alafu usiwe mtu wa sheria. Asingetetereka maamuzi Hata mbele ya watukutu akina Duncan Ferguson na Edgar Davies. Angetenga tuta akiwa anacheka halafu ukimlalamikia anakutwanga kadi akikukaripia. Yule ndiyo Perluigi Collina.

UsIdhani alikuwa hivo kwa wachezaji tu, hata waamuzi wenzake walikoma kumtambua. Kabla ya mechi angewaweka wasaidizi wake chini, awape ‘tution’ ya namna timu zote zinavocheza na wachezaji wakuwaangalia kwa jicho la tatu. Ndiyo maana Ronaldo De Lima alijiamini vile mbele ya wajerumani pale Korea Kusini katika fainali ya kombe la dunia 2002, alijua analindwa vilivyo.

Marehemu Steve Jobs alisema, “Njia pekee ya kufanikiwa ni kupenda unachofanya”. Nadhani ndiyo maana Collina amefanikiwa. Immagine aliacha kazi ya jeshi na shahada yake ya uchumi ili akawe muamuzi.

57 Komentara

    Hama kwer njia pekee ya kufanikiwa ni kupenda unachofanya msemo huu una maana sana Collin alipenda kazi yke ndio mana alikuw anafanya vizur kwenye maamuz yke

    Jibu

    Collin Bado atakua refa mzr na aliipenda kazi yake ndo maana mpk leo anakumbukwa.

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Alijiamin na alimini kipaji chake good

    Jibu

    Collina ni mtu asiyetingishwa

    Jibu

    Good alijiamini kwa kipaji chake

    Jibu

    Ni kocha anaejiamin sn kwenye kazi yake anstaili pogezi kiukweli

    Jibu

    Collina yuko vizuri sana

    Jibu

    Waoo

    Jibu

    Yuko vizuri anajiamini

    Jibu

    Yuko vizuri anajiamini nikocha mzuri

    Jibu

    Hakika kufanya unachopenda ndio njia ya kufanikiwa. Na hili limedhihirika dahari na dahari. Wakati Fulani Mourinho alitaka awe mwamuzi wa mechi iliyofuata baada ya kuhisi mwamuzi wa mechi ya awali ameboronga#meridianbettz

    Jibu

    Kocha aliyejiamini sana

    Jibu

    Najivunia kuwa moja kati ya waliomshuhudia akiwa mwamuzi haswa hiyo final 2002

    Jibu

    Kocha makini sana..

    Jibu

    Ndo maana huyu jamaa uwanjani alikuwa mtemi katika mawmuzi yake

    Jibu

    Alikuwa kocha aliyependa kutenda haki ck zote

    Jibu

    Hongera kwake Collina tunafundishwa kwamba njia pekee ya kufanikiwa ni kupenda tunachokifanya kama Collina.

    Jibu

    Ni kocha ayejiamini na kupenda kazi yake

    Jibu

    akika ni kocha mzuri na wa kuigwa

    Jibu

    Njia pekee ya kufanikiwa ni kupenda unachofanya”. Nadhani ndiyo maana Collina amefanikiwa.nampa hongera yake

    Jibu

    Huyu kocha yuko vizuri sana

    Jibu

    Collina kocha ninaemkibali sana #meridianbettz

    Jibu

    Huyu mwamuzi nakumbuka Sana akiwa uwanjani kwanza wachezaji wanakuwa na nizamu Sana sababu Hana masihara kabisaa

    Jibu

    ni refa bora wa dunia tokea mpira kuanzishwa

    Jibu

    Alikua anakipenda alichokua anakifanya na pia alisimamia njia sahihi

    Jibu

    Ni refa mzuri Sana kwangu

    Jibu

    Ukifanya kitu kwa mapenzi utaiheshimu na utaifanya vizuri

    Jibu

    Na mie nitafata nyayo zake

    Jibu

    Kocha yupo makin nakazi yake

    Jibu

    Collina Ni number moja kwa marefa ambae bado atabaki kua namba moja

    Jibu

    ndio maana huyo jamaa alikuwa mtemi##meridianbettz

    Jibu

    Bonge la Refa enzi zake kulikuwa hakuna boko alikuwa kama VAR vile

    Jibu

    Namkubali sana huyo alikuwa muwamuzi mzuri Sana Collina alikuwa anajua nn anakifanya kwenye kaz yake anastairi pongezi aliitendea kaz yake vyema

    Jibu

    Kocha mzuri anayejiamini na maamuzi yake

    Jibu

    Alikua anapenda haki..

    Jibu

    Namkubali sana huyu colina.

    Jibu

    Mmoja wa refa Bora .enzi zake Corrina alikuwa anajua kufanya maamuzi sahihi Bila upendeleo#meridianbettz

    Jibu

    Kwa upande wa marefa namkubali sana collina n refa ambeye yuko makin sana na kumbuka mwaka 1998 alivyochezesha kombe la dunia ilikuwa hatar

    Jibu

    Alipenda kutoka moyoni mwake ndo maana alikuwa anafanya vizuri

    Jibu

    huyu jamaa alikuwa noma sana hana masiala anga zake

    Jibu

    Alikuwa refa bora sana

    Jibu

    Collin moja ya marefa Bora wa muda wwte ulimwenguni

    Jibu

    Collin namkubali saana

    Jibu

    Muamuzi mzuri wa kuigwa huyu jamaa

    Jibu

    huyu jamaa hajawahi kujutia maamuzi aliyoyowahi kuyafanya akiwa kiwanjani, hata wachezaji wakorofi walikua wanamuogopa kwa jinsi alivokua na msimamo na maamuzi yake,

    Jibu

    Alikuwa refa mzur Sana uyo enzi zake

    Jibu

    Ni refa wa kuigwa kwa kazi yake aliyoifanya

    Jibu

    Huyu refalii alikuwa Ana zingua Sana sikuwahi kumpenda ila ila nijambo zuri kuchagua unacho kipenda

    Jibu

    kocha ni mtu makini sana

    Jibu

    Ni kocha anaejiamini kwenye kazi yake

    Jibu

    Waoo habari nzuri sana hilo linaitwa jeshi la mtu mmoja

    Jibu

    Licha ya kujua vitu mbalimbali kuhusu wachezaji na mechi kibao. Bado tunajifunza na mambo mazuri. Njia pekee ya kufanikiwa ni kupenda unachofanya. Njia iliyomfanya COLLINA afanikiwe.

    Jibu

    Kocha Yuko makini sana

    Jibu

    Mamuzi yeny msimamo ni kitu kizur

    Jibu

    Alikua muamuzi makini sana katika career yake yote anapaswa kuigwa na waamuzi wengineo

    Jibu

    Collina refa wa dunia..!hatakumbukwa milele

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.