Middlesbrough wamemtimua kazi aliyekuwa bosi wa klabu hiyo Jonathan Woodgate na nafasi yake kuchukuliwa na Neil Warnock.
Woodgate ametimuliwa mapema Jumanne, wakati bosi wa zamani wa Cardiff City Warnock akichukua majukumu hayo mara moja.
Katika taarifa ya kuondolewa katika majukumu yake, klabu imetoa shukrani zake kwa kazi ambayo ameifanya kwa klabu.
Middlesbrough wako nafasi ya 21 kwenye Championship, wakiwa wamesalia na mechi 8 tu wakiwa juu ya mstari wa hatari ya kushuka daraja kwa tofauti ya pointi tu.
Katika mechi yao ya kwanza tu baada ya kurejea kwa soka, tangia michuano iliposimama kwa sababu ya Corona, Middlesbrough walichapwa bao 3-0 Walipo watembelea Swansea City Jumamosi iliyopita.
Woodgate aliteuliwa kuwa kocha mkuu Juni mwaka Jana, na anaonekana ameshindwa kufikia matarajio ya klabu kipindi hiki.
Kwa Upande wa Warnock, ambaye ndiye anachukua nafasi iliyoachwa na Woodgate, yeye aliondoka Cardif City Novemba iliyopita. Anakumbukwa kwa kufanikiwa kuwafikisha Cardif Premier League mwaka 2018 lakini walishinda kufurukuta na kushuka daraja.


Antony Luseno
Warnoc sidhani naye kama ataokoa jahazi Middlesbrough wanaitaji kupangua kikosi kizima
Njiku
Woodgate ni kocha mzuri ila hana bahati natimu hiyo maana timu ipo pabaya sana inaweza shuka daraja ila sio mbaya kuja kisaidiwa na kocha huyo wa zamani wa cardif city.tuangalie atafanya nni kuinasua middlesbough isishuke daraja
warda
Bora akae pembeni kwakweli Timu ipo pabaya sana #Meridianbettz
Ester jackson
Pole sana kocha ngoja tuone hiyo nafasi aliyo powa kocha mwingine tuone he ataleta mafanikio
Neema juma
Sawa tumesikia wamemtoa kitu chakujiuliza huyo walomteua ndowanamwamini sana?wangemvumilia kwa mda mambo yangekaa sawa
Mwanaidi
Timu yenyewe imeshashuka daraja wanamuonea tuu
isha
Woodgate usijali maisha popote nenda salama
Issa
Ni bora Warnock awasaidie kuwapandisha
Epl
Caroline
Pole yake
David Pere
Hana mbinu za kisasa za kufundishia soka Ndio maana wamemtimua
Lydia Emmanuel Magoti
Duu pole yakee Bora akae pembeni timu hipo pabaya kwakweli
Latifa juma mohamed
Maisha popote asijal il wasisahau mbachao kwa msala upitiao
Povel
Pole sana mitihan kwny foot ball thanks meridian bet kwa update
Zeiyana
Wakati mwingine club za ulaya zinafanyaga makosa kufukuza makocha kazi wakati tatizo mda mwengine lipo management
Genia Sikaluzwe
Pole Sana ilausijali maisha popote
Gabriel
Kiukwel middlesbrough wako nafas mbaya sana kitendo cha kumtimua wako sahihi kwan lazma waangalie kocha ambaye ataweza kuipandisha club na kiluiweka nafas nzur kwan ukiangalia mech iliyopita kupigwa gol tatu bila n kitendo cha aibu ukiangalia na timu yakawida na kuwafanya kuwa nafasi ya chini zaid
Isaya massawe
Pole yake kwa kukosa kibarua
felister
wamechukua maamuzi ya haraka sana kwa kumfukuzisha woodgate kazi
Dorophina
Ameishiwa mbinu kwa sasa anashindwa kufanya kazi kiufasaha
Magdalena
Atapata tu kwingine asikate tamaa
Omary lukumbi
Duuh kuna muda inabidi tuu ukubaliane na matokeo asubir tuu muda wake atapata tuu timu ya kufundisha
Furahav
Habari nzuri
nasra
Asantee kwa taarifa njema
Ester mmakasa
Yote maisha apambane ili apate klabu nyingine na asirudie makosa.
Salma
Team yenyewe imeshayumba wanamtafutia sababu
Adelta
Habari nzuri
Neema hassan
Duuh pole sana
Sabrina
Maoni:kiukweli Woodgote ni haki yake kufukuzwa middlebrough imekua mbovu imeshuka daraja hivyo Neil Warnock ajipange vizuri ili aiweke timu katika hari nzuri.
fatumakasomo
Kuna muda inabidi ukubaliane na matokeo asubir atapata tim ya kufundisha
Hope mwaikuka
Ucjal utapata kwngne
Amani
Kila nyakati inakuja tofauti avute subira atapata timu nyingine#meridianbettz
Amiri Kayera
Ndy mpila kutimuliwa ndio kocha anaajiliwa ili atimuliwe
Shafii
Sio riziki woodgate kajaribu bahati yako sehem nyingine
Edgar
safi makala nzuri
Tahiya
Ni maamuz mazur kama hanazingua piga chini
Mwajuma
Da mchezo wampira unamitihani sana
Jullie
so sad
Theckla
Pole yake asife moyo atapata tena
Theonestina
Pole yake.atapata kazi sehemu nyingine
Samiah
Atapata kazi sehemu nyingine acjali
Aziza mushi
Habari njema.
mwakalosi
hii ni habari sana maana katimuliwa kipindi kigumu sana
Rehema
Hii ni habari njema
Hamidu
Habari mbaya kwa mashabiki wake ! #Meridianbet
Leonard
Timu inataka mabadiliko kwaiyo uwamuzi sahihi
Mwanahamisi
Habari njema
Elika
Aachie ngazi tuu na wengine wafanye kazi
Devotha
Pole sana kazi ya ukocha ni ngumu inahitaji akili nyingi uweze kugundua mbinu mpya kila siku!
Sadick
Kocha hana uhakika wa kazi timu yake inapokuwa na matokeo mabaya. Pengine ndio kazi ya pressure kuliko zote#meridianbettz
Ernest
Jonathan Woodgate hakuwa na msimu mzuri na Middlesbrough
Agness
Duuh pole zake
Samira
Jonathan woodgate hakua na bahati msimu huu
Angelina
Tujaribu na upande mwingine tuone kama timu itapanda daraja
Emmy cleopa
Pole
Asia Abdy
Duh jaman pole yake