Matthias Ginter ataendelea kubaki katika timu ya Borussia Monchengladbach licha ya kuripotiwa timu za Chelsea, Atletico na Inter kumuhitaji.
Beki huyo wa kati Mjerumani amekuwa akihusishwa na kujiunga na vilabu vikubwa vya ulaya vinavyo shiririki ligi kuu za LaLiga , EPL na Serie A.
Walakini, baada ya kumaliza kwenye nafasi ya nne katika Bundesliga msimu wa 2019-20 na kufuzu kucheza Champions League msimu ujao, Ginter anataka kundelea kubaki klabuni hapo ili asiadie timu hiyo kwa hatua zitakazo fuata.
“Nidhahiri nitaendelea kuwa na Monchengladbach,” Ginter aliiambia Kicker Magazine.
“Ni kweli nimesikia wakiniulizia nimekuwa nikisifiwa lakini nilisha sema ninawakati mzuri sana nikiwa na Gladbach.
“Timu hii inamchango mkubwa sana kwenye maisha yangu ya soka na kocha Marco Rose ametupa thamani sisi wachezaji.
“Mashabiki halisi wametuzunguka hapa, klabu hii kwa sasa ipo katika mpango wa kutengeneza kitu, nimewaibia siri pia bado nina mkataba hapa.
Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.


Latifa juma mohamed
Ginter mchezaji mahiri Sana, wacha aendelee kulisogeza gurudumu kwa borussia.
Aziza mushi
Asanten kwa taarifa.
Venerose
Sio mbaya
Fatuma kasomo
Ginter ni mchezaji mzuri sana
Antony Luseno
Japo kukaa timu moja kwa muda mrefu ina manufaa yake lakin pia kubadili upepo napo muhimu
Leonard
Jambo nzuri kwake
Dorophina
Kama ni kuna masrai Ni vizuri tu ginter ukabapo hapo hapo klabuni
Magdalena
Ginter yupo vizuri sana
aisha
Kinachotakiwa ginter aangalie masilahi yake kama anapata mafanikio basi abaki
Nasra
Gud news
Sauda
Usiondoke kama panafaa
Ester jackson
Ginter nenda Chelsea utapata pesa nyingi sana mana wanauhaba wa mabeki
Angelina
Goodupdate
felister
ukiona ivyo panamanufaa napo ndiyo mana anataka aendelee kuka apo
Zeiyana
Me naona angeenda tu ili haone mabadiliko kuchezea timu moja uwezi kuna manufaa yoyote hata kama hiyo clabu hikufanyi makubwa vipi?
Neema juma
Wazo lake sio bayaa
David Pere
Wakati mwingine ni muhimu kubaki maana kuhamahama Kuna majanga take pia
Lydia Emmanuel Magoti
Ginter nimchezaji mzuri anajua Nini anakifanya kwenye kaz yake namkubali
Isaya massawe
Siyo mbaya akabaki kwenye klabu yake maana bado klabu iko nafasi nzuri
marry
asante kwa taarifa
Saupha mohamed
Sawa tu abakii
Tatu
Good news
Ernest
Huyu jamaa hapa anaonyesha uzalendo sana
Mwanahamisi
Jambo nzuri sana
Furahav
Wazo lako liko vizuri.
Salma ngende
Wazo zuri
Gabriel
Nice update
Issa
Ginter awez kuondoka hapo ni timu ambayo anaielwa vizur
Hope mwaikuka
Sawa tu
Shafii
Msimamo wake ni mzuri ila Kama mchezaji mwenye ndoto za kua na mafanikio makubwa inapaswa atazame wapi panamfaa kutekeleza ndoto zake.
farida ahmadi
Maamuzi yake binafsi kuondoka hama kubaki
Amiri Kayera
Safii
Samiah
Safi
Mwanahamisi
Wazo lake ni sahihi
Theonestina
Safi sana
Rehema
Gud news 👍
Caroline
Sawa sawa
Mwajumah
Wazo lake ni sahihi#Meridianbettz
warda
Kama anapenda kubaki wamwache tu jamani#Meridianbeetz
Fatina mfingi
Jambo zuri kwake
Khadija
Habari njema#meridianbettz
Sadick
Chelsea inauhitaji wa beki wa kati na kushoto hivyo endapo atamua kwenda huko atapata nafasi ya kucheza mara kwa mara#meridianbettz
Devotha
Asante kwa taarifa
Sabrina
Asante kwa taarifa