Hansi Flick anaamini Serge Gnabry anakaribia kuwa mchezaji mwenye hadhi kubwa baada ya mshambuliaji huyo kufunga magoli mawili kwenye mchezo wa nusu fainali Bayern Munich walipokutana na Lyon siku ya Jumatano.
Gnabry alifunga magoli yote kipindi cha kwanza cha mchezo kabla Robert Lewandowski kufunga goli la tatu dhidi ya Lyon na kufuzu kucheza fainali ambapo Munich watakutana na PSG.
Mchezaji huyo wa Ujerumani amefunga goli 23 kwenye michezo 45 msimu huu na kocha mkuu wa Bayern Munich Flick amehisi Gnabry amekaribia kuwa kati ya wachezaji bora ulimwenguni.

“Goli la ufunguzi alilofunga lilikuwa zuri sana, jinsi alivyo maliza na jinsi alivyojiweka kwenye nafasi kufunga,” Flick alisema.
“Na kama unafuatilia maendeleo yake sio tuu Bayern M,unich hata kwenye timu ya Taifanafikiri unaweza kukubaliana na mimi kiukweli amekaribia sana kuwa mchezaji wa dunia.
“Anabadilika sna ni hatari sana anakuwa eneo la goli na tunafuraha sana kuona amefunga na kuchangia kwenye ushindi wetu wa leo.
“Alikuwa na kiwango kikubwa na ninashawishika kusema amefikia kusema amefikia malengo.”
Lyon walipata nafasi nyingi kwenye nusu fainali hiyo kabla Gnabry kutupia kwenye nyavu za Lyon mara mbili.
Hansi alikiri kwamba Bayern inatakiwa kuimarika kwenye safu ya ulinzi kwani PSG ni wazuri kwenye ushambuliaji kama Lyon.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Nasra
Kila kitu kinawezekana kama akiongeza juhudi
Ester jackson
Bayern Munich wanajua kufurahisha mashabiki mana vipigo anavyo piga sio chini ya magoli matatu msimu huu umewawakia wachezaji Wa Bayern kuwa wafungaji Wa magoli mengi
Zeiyana
Me siona kama kuna uwezekano Bayer munch kuimarisha kikosi chao bado wana kikosi kizuri sana waondoe wasi wasi kuusu PSG. Ongera sana flick
Ernest
Ukimuangalia Gnabry unamona ni mchezaji ambaye kila siku kiwango chake kinaongezeka na kuwa mwiba zaidi, Binafsi namuona ni world class player kwasasa.
Adelta
Anastahili pongezi na azidishe juhudi
@meridianbettz
aisha
Duuh jamaa nyota yake imenga,ra mungu amsimamie pongezi sana kwake
Khadija
Bayern wanajua kuwafurahisha mashabiki maana magoli yanayofunga si chin ya magol matatu na kuendelea
Mwajumah
Ukimwangalia Gnabry unamuona ni mchezaji ambaye Kila siku kiwango chake kinaongezeka na kuwa mkali zaid#Meridianbettz
Dorophina
Gnabry kwa sasa amefika mbali maana kadiri siku zinavyozidi kwenda kipaji kinazidi kukuwa na atafika mbali
Magdalena
bayern wamepambana katika kuhakikisha wanapita katika nusu fainali na wakiendelea hivyo kombe litakuwa lao
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana akiongeza juudi ndoto zake zitatimia
Shan
Yuko vizur jitihada tu zinatakiwa!!
Sylvester
Kwa Migoli anayopiga kwa upande wangu naona ameshafikia kiwango cha Dunia siyo anakaribia,kwa sasa yupo kwenye kiwango cha juu katika ufungaji akiwa na timu yake ye Bayern na kuna asilima 80 ya kuweza kutwaa UCL msimu huu
Fatina mfingi
Yupo vizur Ila kikubwa juhudi
Furahav
Gnabry namkubali sana.
Samiah
Namkubali sanaa Gnabry
Venerose
Anatakiwa aongeze juhudi
Saupha mohamed
Anajituma kiwango chake kipo vizuri
Salma ngende
Yupo vizuri
Gabriel
Alickokizungumza Flick kocha wa Bayern Munich n kwel kabisa kwan Gnabry amekuwa n mchezaji ambaye anajituma sana
Amiri Kayera
Anakiwango kizur san
Sabrina
Nie ukweli usio pingika Gnabry anajituma sana
Povel
Kila la kitu kinawezekana kikubw kujituma na kuongeza bidiii tu hapo hatafika malengo tu
Sadick
Hii ni habari mbaya kwa Arsenal iliyomuuza kwa Dola Millions 5 tu kwenda Bayern na kwasasa ana thamani ya mamilioni ya Dollar#meridianbettz
Devotha
Pongezi kwake
farida ahmadi
Hongera Sana
Janeflora malisa
Nice
Theonestina
Vizur
Latifa juma mohamed
Alikuwa na kiwango kikubwa na ninashawishika kusema amefikia malengo, hakika ukijituma na bidii unafikia malengo honger Sana Serge Gnarby.
David Pere
Bayern Munich wanajua kufurahisha mashabiki mana vipigo anavyo piga sio chini ya magoli matatu msimu huu umewawakia wachezaji Wa Bayern kuwa wafungaji Wa magoli mengi
warda
Ajitahidi tu mana wenzie kiwango kinapungua#Meridianbettz
felister
kila kitu kinawezekana kama akiongeza juhudi
Tatu
Flick anajitahidi na kujituma ktk kikosi chake
Hope mwaikuka
Namuelewa sana
Shafii
Hii yote inatokana na kujituma kwake anapokua uwanjani.