Klabu ya Manchester City ipo mbioni kumuongezea mkataba wa miaka mitatu Pep Guardiola ili aendelee kusalia klabuni hapo mpaka mwaka 2023.
Ripoti kutoka katika vyanzo vya kuaminika vya timu hiyo vinaarifu kuwa dili hilo la Guardiola ni maandalizi ya kumsajili Lionel Messi kutoka Barcelona.
City wanaamini kwamba wapo karibuni kumsajili nyota huyo wa timu ya taifa ya Argentina mara baada ya mshindi huyo mara sita wa tuzo ya Ballon d’Or kuweka wazi kuwa hataki kuendelea kusalia Nou Camp.
Vigogo hao wa jiji la Manchester wanaamini kuwa ujio wa Messi pale Etihad Stadium utamaanisha kuwa wanatakiwa kuendelea kuwa na Guardiola kwa misimu mingine zaidi.

Kwa upande mwingine mabosi wa klabu ya Barcelona wameshamuarifu kocha Ronald Koeman ajiandae kuanza maisha ya kuifundisha timu hiyo bila uwepo wa Messi, pia wanaona ni bora kupata wachezaji kadhaa kutoka City wenye thamani ya karibia £250m pamoja na kitita cha fedha kuliko kuwauzia mchezaji huyo kwa £630m kama ilivyoainishwa katika mkataba wa mchezaji huyo.
Timu zingine zilizo katika hatua za kumsajili mshambuliaji huyo ni pamoja na Paris St Germain,Inter Milan pamoja na Juventus lakini yeye anapendelea kujumuika kwa mara nyingine na Guardiola ambaye alimfundisha akiwa Barcelona.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


Antony Luseno
City hawana chaguo mwingine lazima wamuongezee mkataba Gurdiola
aisha
Manchester city wamefanya vizuri kumuongeza mkataba gurdiola
Latifa juma mohamed
Gud news
neema hassan
Asante kwa taarifa#meridianbettz
Amiri Kayera
Vizur kafany poa tang atue Etihad
Nasra
Gud news
Rehema
Hii ni habari njema sana
farida ahmadi
Wamefanya vizuri Sana klabu ya Manchester city kumpa tena mkataba gardiola
Furahav
Man city watakua wamefanya jambo zuri.
Caroline
Hongera Guardiola…
Hidaya
Habari njema kwa mashabiki wa man city
Rose kapinga
Vizuriii wameelewa kazi zake!!!
Sadick
Pep Guardiola ni kocha mshindi, anasitahili kuwepo Man City kwa muda mrefu zaidi#meridianbettz
Fatina mfingi
Habar njema kwa mashabiki!!
rama
vizuri sana coz ndo kocha bora wa sasa
Povel
Nice update
Saupha mohamed
Hongera yake
Mwanahamisi
Hongera Guardiola
Tatu
City wamefanya jambo nzuri na guardial
Sabrina
Safi sana
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Guardiola
felister
safi Guardiola
Ernest
Uongozi wa City bado wanaimani na Pep hivyo tunatarajia msimu ujao Pep atafanya makubwa zaidi
Hope mwaikuka
Pep ni kocha mzur sanaa anafaa kuendelea kuwepo
Amani
Bora walivyo muongeza mkataba pia Ni kocha mzuri Sana
JULIANA
Wamejiongeza
Mwajumah
Man City watakua wamefanya Jambo zuri#Meridianbettz
Neema
Pep ni kocha mzuri mno Huyo
jullie
yuko vizuri sana
Dorophina
Nilijua tu man City hawana chaguo lingine zaidi ya guardiola ni lazima wamuongezee mkataba tu
Zeiyana
Kwaiyo wamemuengeza mkataba gurdiola hili kiwe kivutio cha Messi..!ningewashauli waangalie upande mwengine Messi sasa hivi kashakua maji ya jioni wachezaji wapo wengi tu chipukizi wenye uwezo mkubwa wakiandaliwa wanaeweza tu
Devotha
Man city hawana chaguo jingine ni Guardiola tu kwa sasa
lombo
vzr
Leonard
Pep anastahili kuendelea pale city
Samiah
Yupo vzr
Edgar
Nice
Asia Abdy
Anafanya kaz nzur sana
Issa
City safi kumuongezea muda pep
Aziza mushi
Vizuri.
Samira
Guadiola ni kocha mzuri sana ni matarajio yangu Msimu ujao atakua bora zaidi pale man city
Adelta
Manchester city wamefanya Jambo zuri kumwongeza mkataba@meridianbettz
Janeflora malisa
Good
Ester jackson
Guardiola ni muda sasa wako wa kuipambania saini ya lion messi
Theckla
Guadiola kocha mzuri
Theonestina
Wamefanya Jambo zuri sana
Fatuma kasomo
Nikocha mzuri sana
warda
Guardiola anajua bwana#Meridianbettz
Sauda
Guardiola fundi
Johnmary joel
Safi endelea kuchana kazi timu isonge mbele#meridianbett
magdalena
civty bora wamuongezee mkataba maana bado ana mchango mkubwa sana katika timu
Salma ngende
Ni jambo zuri
aisha
City wanampa tag san pep na inabidi ahakikishe city inaondoka na taji msimu ujao
Omary lukumbi
City wanampq muda pep kwa sabab wana amini ndio kocha atakae wapa uefa msimu ujao ila akikosa tena basi tunaweza kujakuona sura mpya city
Khadija
Bora walivomuongezea mkataba pia ni kocha anafaa
marry
yuko vzr
Rehema Dickson
vizuri Sana klabu ya Manchester city kumpa tena mkataba gardiola
Shafii
Pongezi kwa uwongozi wa man city pep ni mwalimu mzuri na mzoefu wa mashindano mbali mbali.
David Pere
Kwa upande mwingine mabosi wa klabu ya Barcelona wameshamuarifu kocha Ronald Koeman ajiandae kuanza maisha ya kuifundisha timu hiyo bila uwepo wa Messi, pia wanaona ni bora kupata wachezaji kadhaa kutoka City wenye thamani ya karibia £250m pamoja na kitita cha fedha kuliko kuwauzia mchezaji huyo kwa £630m kama ilivyoainishwa katika mkataba wa mchezaji huyo.
Faraja molell
Ni kocha mzuri
Gabriel
Uongozi wa City bado wanaimani na Pep hivyo tunatarajia msimu ujao Pep atafanya makubwa zaidi