Philippe Coutinho ajiunga na timu ya Barcelona katika mazoezi siku ya Ijumaa, kwa mara ya kwanza baada ya kurejea akitokea Bayern Munich alipokuwa ametolewa kwa mkopo.
Bayern haija mnunua Coutinho, ambaye ametumia msimu wa 2019-20 akiwa na Miamba hiyo ya Bavaria baada kutua katika klabu hiyo kwa mkopo akitokea Barcelona baada ya kutokuwa katika kiwango kizuri Camp Nou. Coutinho alisajiliwa kwa dau linaloripotiwa kufika €160m mwezi Januari mwaka 2018 akitokea Liverpool.
Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Brazil ameanza mazoezi na timu ya Barcelona kujiandaa na msimu mpya licha ya kuhusishwa kutaka kurejea kunako Premier League katika vilabu vya Chelsea au Arsenal .

Coutinho ameshinda taji la Bundesliga, DFB-Pokal na Champions League wakati mfupi tu alipokuwa Bayern munich, na kufunga magoli mawili na kutoa asisti kwenye mchezo wa Champions League na kufanikiwa kupata ushindi wa 8-2 dhidi ya klabu yake mama Barcelona jijini Lisbon mwezi Agosti.
Wakati Coutinho akiripotiwa kuwepo mazoezini chini ya meneja mpya Ronald Koeman, Lionel Messi bado hajarudi kwenye majukumu yake na hatma yake bado imebaki hewani.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Ernest
Koeman anaonekana kumuhitaji Coutinho lakini bado changamoto sana kwa yeye kuendelea kubaki Barcelona.
Dorophina
Karibu Coutinho Barca
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri Kwa Coutinho kulejea Barcelona mapambano yanaenderea kupigakazi dogo
rama
barcelona ndo wanona umuhimu wa coutinho asaiv
Samiah
Gud news
Sadick
Nilidhani Bayern Munich ingemununua moja kwa moja Coutinho na Perisc ambao wamekuwa na mchango mkubwa kushinda makombe matatu msimu huu#meridianbettz
Shafii
Ni jambo zuri kwani anaweza akawa kwenye mipango ya koeman msimu unapoanza.
Latifa juma mohamed
Gud news
magdalena
coutinho bado yupo vizuri ata akirejea tena watamchukua tu
Adelta
Mashabiki tunashukuru kwa makala
@meridianbettz
Nasra
Gud news
Genia Sikaluzwe
Habari njema
Mwanahamisi
Coutinho ni mtu mahili
Sauda
Coutinho karibu sana Barca
marry
all the best
Furahav
Litakua jambo zuri.
Caroline
Coutinho karibu chama la wajanja Barcelona
Issa
Mmh ni safi kurudi barca tena naona kutakuw na utam flan wa kibrazil wameumis
Tatu
Koeman ameamua kubadilisha kikosi cha Barcelona naona wameamua kumsajili coutinho
Fatina mfigi
Itakuwa fresh
JULIANA
Sawa tu
felister
si vibaya
Mwajumah
Itakua ni jambo zuri
Khadija
Coutinho karibu barselon uje kupambana tena kaka#meridianbenttz
Rose kapinga
Njoo uiokoe Barcelona!!!
Hope mwaikuka
Go east go west home is best
Frank
Atatumika na Koeman next season
Saupha mohamed
Jamaa yupo vizuri
Edgar
Huko Bora hasird
Shani
Hapa mess hap courtnho kitawaka noucamp
farida ahmadi
Habari njema Sana
Neema
Habari njema
Sabrina
Karibu tena barca
Agness
Niuamuzi wake
Povel
Welcome Countinho nyumbani
Amiri Kayera
Anabahat kalud km bingw uefa na medali zake
Isaya massawe
Wanamwangaisha Sana
Gabriel
Koeman anaonekana kumuhitaji Coutinho
warda
Coutinho ni mkali sana
Tahiya
Ni habari njema