Low Hataki Wakongwe Anamipango na Vijana.

Thomas Muller aling’aa sana katika klabu ya Bayern Munich msimu uliyopita lakini kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ujerumani Joachim Low hana mpango wa kumuita mchezaji huyo.

Low alitangaza kuwa Muller, Jerome Boateng na Mats Hummels hawakuchaguliwa kwenye kikosi tena baada ya kushindwa kupita katika hatua ya makundi mwaka 2018 katika kinyang’anyiro cha kombe la dunia

Lakini, kiungo mshambuliaji huyo wa Bayern alikuwa katika kiwango bora chini ya mwalimu Flick msimu uliyopita, akiwa na mkusanyiko wa kuvunja rekodi ya kutoa asisti 20 wakati miamba hiyo ya Bavaria ikifanikiwa kubeba Bundesliga kwa mara ya nane mfululizo.

Wachezaji wa timu ya Ujerumani wakiwa mazoezini

Bayern hawakuishia hapo kwani walishinda mataji matatu ndani ya msimu mmoja kwa kushinda DFB-Pokal na Champions League huku Muller akiwa ni nyota wa mchezo dhidi ya Barcelona, Bayern ilipoicharaza timu ya Barcelona 8-2 katika hatua ya robo fainali kwenye Champions League.

Lakini, Low hakutaka kumuita mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 katika kikosi cha Ujerumani kwenye michuano ya Nations League.

“Thomas Muller ni mchezaji mkubwa,hakuna swali juu ya hilo, lakini nawaamini vijana,” Low alisema baada ya mchezo dhidi ya Spain siku ys Alhamisi.

“Naamini kwamba hatma ya timu ipo mikononi mwa vijana wanahitaji muda mwingi wa kucheza na kukuza vipaji vyao.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

44 Komentara

    vijana ndo wana nguvu sana wanajua kupambana

    Jibu

    Joachim Low yupo sahihi na ili Ujerumani aendelee kuwepo ktk hali ya ushindani lazima vijana wapewe kipaumbele zaidi#meridianbettz

    Jibu

    Vijana ndo mambo yote buana

    Jibu

    Low yupo sahihi kwan vijana ndio wananguvu na wataleta maendeleo kwenye clabu

    Jibu

    Vizuri alicho hongea Low ana mpango na vijana sio wazee vijana miliyao bado ipo nguvu kaz

    Jibu

    dam changa ndo yenye nguvu

    Jibu

    Ya kizazi sana hii

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Sio Low tu tunaona makocha wengi kwenye timu ya Taifa wanajaribu kutumia vijana zaidi

    Jibu

    Vijana wanapiga kaz

    Jibu

    Vijana ndo wanaoleta changamoto yupo sahihi Joachim low

    Jibu

    Vijana ndio habari ya mjin#meridianbettz

    Jibu

    Vijana ndiyo wazuri damu bado mbichi
    @meridianbettz

    Jibu

    Ha ha ha ha ha atarii

    Jibu

    Low yupo vizuri vijana wataitumikia klabu vizuri na kwa mda mrefu na viungo vunakuwa vipo fiti

    Jibu

    Muller usimteme low

    Jibu

    Ni maamuzi mazuri ya low ilikuimarisha kikosi

    Jibu

    vijana ndo habari ya mjini

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Ila akumbuke msemo wa wahenga unaosema safari na wazee

    Jibu

    yuko sawa lbda yeye plani yake timu iwe na vijana zaidi

    Jibu

    Ila kweli navijana nao wapate nafasi ya kuonesha viwango vyao.

    Jibu

    Vijana damu changa mambo yanaenda!!!

    Jibu

    muler umri umeshaenda acha wapte nafasi vijana

    Jibu

    Sawa

    Jibu

    Vijana ndo changamoto

    Jibu

    Vijana ndio wenye nguvuu

    Jibu

    Vijana ndio nguvu kazi

    Jibu

    Vijana ndio nguvu kazi

    Jibu

    Low dam changa ndio yenywe

    Jibu

    Gud news 👍

    Jibu

    Low anangaliah mbali kwn boateng /muller soka lao kwny national timu limekwisha tayar zamu ya vijana

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Vijana ndio kila kitu kwenye ulimwengu wa sasa

    Jibu

    alikuwa katika kiwango bora chini ya mwalimu Flick msimu uliyopita, akiwa na mkusanyiko wa kuvunja rekodi ya kutoa asisti 20 wakati miamba hiyo ya Bavaria ikifanikiwa kubeba Bundesliga kwa mara ya nane mfululizo.

    Jibu

    Umli umeenda lakn bado wanauwezo

    Jibu

    Naamini kwamba hatma ya timu ipo mikononi mwa vijana wanahitaji muda mwingi wa kucheza na kukuza vipaji vyao.

    Jibu

    Joachim Low yupo sahihi na ili Ujerumani aendelee kuwepo ktk hali ya ushindani lazima vijana wapewe kipaumbele zaidi

    Jibu

    Vijana ndo mpango mzima

    Jibu

    anangaliah mbali kwn boateng muller soka lao kwny national timu limekwisha tayar

    Jibu

    Hajui Mambo huyu mbona sie Simba tuna Kagere na Anachukua mchezaji bora kila mwaka

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.