Ansu Fati amerudi katika kikosi cha Barcelona kwaajili ya mchezo wa Joan Gamper Trophy mchezo ambaao Barca iliibuka na ushindi wa 3-1 katikati ya wiki lakini Fati anarejea katika safu ya ushambuliaji katika mchezo dhidi ya Elche.
Joan Gamper Trophy ni mchezo wa kirafiki wa Barcelona unaochezwa mwezi Agosti kila mwaka kabla ya kuanza msimu wa LaLiga. Mchezo huo ulianzishwa mwaka 1966 na Enric Llaudet.
Koeman hana mipango na Suarez,Vidal pamoja na Riqui Puig.
Juventus wameripotiwa kuhitaji saini ya Luis Suarez mwenye umri wa miaka 33 lakini pia Atletico Madrid wapo katika mawindo ya kumsajili straika huyo na hakuna nafasi yake katika mipango ya kocha mpya wa Barca.
Inter Milan wamelenga kumnasa Arturo Vidal ambaye pia kocha Koeman amesema hakuna nafasi kwa mchezaji huyo katika kikosi cha watu 23.
Riqui Puig ambaye ana umri wa miaka 21 alianza kucheza katika kikosi cha kwanza msimu uliyopita kuna uvumi kwamba hatokuwa sehemu ya mipango ya Koeman hapo Camp Nou.
Lionel Messi alirejea kikosini baada ya kujaribu kuondoka Barcelona mapema katika dirisha la usajili na alifunga goli mbili dhidi ya Girona katika ushindi wa 3-1.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Hidaya
Fati anajua anachokifanya
Ernest
Barca imepitia kipindi kigumu na cha mpasuko mkubwa, kuna wachezaji wataondoka lakini ukweli utabaki kuwa walikuwa na msaada mkubwa zaidi ndani ya Timu sema tuu upepo umekaa vibaya
Dorophina
Amefanya maamuzi sahihi kurudi kwenye kikosi cha Barca hii Ni habari njema kwa mashabiki maana Barca inaanza kupotea
magdalena
angalau mashabiki wnapata matumaini kidogo ila kiujumla barca ishapoteza uwezo wake wa kama zamani
Mwajumah
Fati amefanya Jambo jema sana kulud katika clabu ya barca#Meridianbettz
Mwanahamisi
Amefanya maamuzi sahihi
Angelina
Habari njema
Lydia Emmanuel Magoti
Amefanya mamuzi sahii kulejea tena kwenye kikosi kuja kupambana
Nasra
Fati namkubali sana
Nasra
Fati namkubali sana
Adelta
Amefanya maamuzi sahii kurudi kwenye kikosi Cha Barcelona@meridianbettz
aisha
Ansu ni mchezaji mzuri sana
Fatina
Ni Jambo zuri
Sauda
Fati yupo vizuri sana
Zeiyana
Man u bado wanaali ngumu sa kwa ushindi huu bado kabic wanatakiwa wafanye kazi ya ziada kuimalisha kikosi chao
felister
amefanya maamuzi sahihi ya kurudi tena klabuni
Sadick
Endapo Ronald Koeman atampa nafasi ya kucheza mara kwa mara basi Ansu Fati atakuja kuwa moja wa wachezaji mahili siku za usoni#meridianbettz
Sabrina
Fati amerudi sehemu salama
Rehema
Asante kwa taarifa
Khadija
Fati namkubali sana#meridianbettz
Issa
Ansu mchezaji ambae soka analijua vilivyo na akipata sapoti atafika mbali
Hopemwaikuka
Fati namuelewa sana
Samiah
Namuelewa sanaaa
marry
makala nzr
Saupha mohamed
Safi amefanya jambo zuri
Amiri Kayera
Zao la barca
farida ahmadi
Yuko sahihi kabisah
Rose kapinga
Safii ni kama mtoto amerudi nyumbani kwa wazazi!!!
Elika
Namuelea sana huyo jamaa
Fatuma kasomo
Amefanya maamuzi mazuri
Povel
Habar njema kwa mashabik wa Barcelona
caroline
Fati usituangushe
Tatu
Suarez ana nafasi kabisa pale Barcelona atafute sehemu pa kwenda naona koemani hana mpango nae kabisa
Mariam mtandama
Habari njema
Devotha
Maamuzi sahihi amefanya
Gabriel
Ansu ni mchezaji mzuri sana Maamuzi sahihi amefanya
Janeflora malisa
🔥
Asia Abdy
Safi sana
Neema
Uamuzi aliouchukua ni sahihi
Latifa juma mohamed
Habar njema
David Pere
Fati amefanya Jambo jema sana kulud katika clabu ya barcelona
warda
Amefanya vizuri sana
Salma ngende
Yupo vizuri
Shan
Anatarajiw kufanya makubw barcelona