Conor McGregor amesema kuwa mpinzani wake Khabib Nurmagomedov anajua kile ambacho kingetokea kama wangekutana tena ulingoni. Anaamini kuwa yeye ndiye sababu ya Khabib kustaafu.
Bondia huyu anasema kuwa Khabib ni mwoga wa kushindwa, na ameogopa asije akapoteza mechi dhidi yake na kuamua kustaafu.
Baada ya kushinda mechi ya UFC 254 dhidi ya Justin Gaethje, Khabib aliangaza kuwa ameamua kustaafu kupambana ndondi mchanganyiko (Mixed Martial Arts).
Kutangaza kwake kustaafu kuliwashitua wengie wanaopenda ndondi. Khabib alimtandika McGregor kwenye pambano la UFC 229, Oktoba 2018. Tangia hapo hawajapanda ulingoni pamoja.

McGregor, ambaye alikuwa anatazamia kwa hamu kubwa pambano la marudiano na bondia huyu amesema kuwa safari hii hali ilikuwa inaenda kuwa tofauti kabisa na bahati mbaya ni kuwa Khabib alijua hilo mapema na kwa woga ameamua kustaafu.
Hata hivyo, raisi wa UFC Dana White anaamini kuwa Khabib anaweza kurejea na kupambana kukamilisha mapambano 30-0 ya ushindi.
Conor pia alitangaza kustaafu ndondi mchanganyiko, lakini anatarajiwa kupitia tena uamuzi wake ili apande ulingoni dhidi ya Dustin Poirier.
Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!



Angelina
Duuh mbona mapema sana kustafu
Ester jackson
Nikawaida sana kwa wapizani kutupiana vijembe kwa sababu fulani lakini mimi bado sijaina kama no sababu ya msingi ya kumuogopa ingawa katika ulingo kunakushindwa na kushinda labda kustafu kwake kunasababi za msingi lakini sifikiri kama ni uwoga
aisha
Hakuna kitu ambacho kinakosa sababu kila kitu lazima kiwe na sababu
Caroline
Pole yakee
Sauda
Suala la uwoga kwa bondia Khabib halipo kabisa labda astaafu kwa sababu nyingine.
Adelta
Ni vizuri huwezi kujuwa ameona nini
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri labda yeye anajiona ngoja apumzike kwanza lakini kusema kumuogopa yeye amnakitu chanamna hiyo yeye kamua kupumzika
Dorophina
Conor yupo sahihi khabib ameamua kumkimbia mpinzani wake
Elika
Safi kwa upande wake
Tatu
Umri wake ushafika wa kustaafu
Saupha Mohamed
Kazi na umrii
Flomena
Gud
Sabrina
Hatuwezi kuyaingilia hayi ni maamuzi yake ingawa mashabiki basi wanakiu nae
Mwajumah
Duuh mbona mapema sana kustaafu wakati bado tunamuhitaji
Khadija
Asante kwa taarifa
zeiyana
me naona ilifika tu mda wake wakupunzika ndondi na sio sababu ya uwoga wa kupigwa
Fatina mfigi
Kazi na umri bhna!
Fatuma kasomo
Gud
Nasra
Conor mbabe wa kickboxing
Shani
Ni jambo nzur
Hopemwaikuka
It’s ok
Issa
Conor mkali wa mixfighting mwenye rekod nying kwa upande wake
warda
Ndondi zinachanganya sana Ubongo
Tahiya
Vizur
felister
sio vibaya
zeiyana
ni vizuri uwongozi wangepanga pambano lengine ili waondoe mzizi wa fitina
Janeflora malisa
Ni sawa
magdalena
duh hii ni balaa
Rahma
Safi kwa upande wake
Povel
Mc gregor mwamba katika masubwi