2020 ikiwa inaelekea ukingoni. Mchezo wa tenesi unapambwa kwa mashindano ya ATP Finals 2020 yanayofanyika nchini Uingereza katika uwanja wa O2 Arena jijni London.
Kuelekea hatua ya nusu fainali ya mashindano ya ATP Finals 2020, Dominic Thiem alikuwa uwanjani kupambana na Rafael Nadal.
Mchezo uliokuwa na ushindani wa aina yake, wachezaji wote walionesha uwezo na kiwango thabiti cha kucheza mchezo wa tenesi. Mpaka mchezo unamalizika katika raundi ya 5, alikuwa ni Thiem aliyemlaza Nadal kwa ushindi wa seti 7-6 (9-7) 7-6 (7-4)
Huu ni ushindi wa pili mfululizo kwa Thiem kwenye mashindano ya ATP mwaka huu. Ushindi wa Dominic unachangizwa na uwezo wake wa kutumia nafasi alizozipata kwenye mchezo ambao Nadal alikuwa akifanya makosa kadhaa yaliyomgharimu.

Kwingineko kwenye ATP Finals 2020. Stefano Tsitsipas amemuondoa Andrey Rublev kwenye mashindano ya mwaka huu.
Mchezo kati ya Tsitsipas dhidi ya Rublev ulimalizika kwa ushindi wa seti 6-1 4-6 7-6 (8-6) na sasa ni rasmi, Rublev ameondolewa kwenye mashindano haya baada ya kupoteza michezo yake yote.
Tsitsipas atachuana na Rafael Nadal katika kuisaka tiketi ya kucheza hatua ya nusu fainali ya ATP Finals 2020 ambapo mshindi atakutana na Dominic Thiem.
Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.



Elika
Kila mjanja na mjanja wake
magdalena
thiem ata akimzidi ufundi ila nadal ana kiwango kizuri sana katika mchezo wa tennis
Khadija
Nadal anajua sana
Fatina mfingi
Nadal yuko vizur sanaa!
Adelta
Dominic Yuko vizuri
Ester jackson
Hongera sana
Sauda
Atp kumenoga
Mwajumah
Nadal anajua sana
Angelina
Good job Nadal
Samira
Nadal anajitahidi kulinda brand yake asishuke big up
Sadick
Thiem ameanza kuwa mtamu anataka kuwapiku wakongwe
Carolyn
Pole Sana Nadal umepata wa kukupiku.
Rahma
Nadali Yuko vizuli
Hopemwaikuka
Kwa Nadal sikubal kabahatisha tu
Nasra
Vzuri sana nadal
Devotha
Asante kwa taarifa
zeiyana
ulikua mashandano si ya haina yake kila mmoja alikua hanakiu ya ushindi
Fatuma kasomo
Asante kwa taarifa meridianbet
Antony Luseno
Kwa ushindi huu uenda akaibuka kuwa bingwa
Povel
Themi. FElix ni mwamba anayekuja vzr sana
aisha
Kila mbabe na mbabe wake
Theonestina
Hongera yake
Sabrina
Nadal ndio mwisho wa matatizo ATP
felister
kwa ushindi huu uweza akawa bingwa
Lydia Emmanuel Magoti
Nadal yupo vizuri sana
Saupha mohamed
Nasal anajuaaa
Saupha mohamed
Nadal anajua sana
Janeflora malisa
Pongz kwak