Msimu mpya wa NBA kuanza kutimua vumbi mwezi huu. Michezo ya kujiandaa na msimu mpya itaanza wikiendi hii. LA Lakers kuwakosa LeBron James na Anthony Davis kwenye mchezo wa leo.
LA Lakers watakuwa uwanjani leo (Ijumaa) kupamba na LA Clippers kwenye mchezo wa kwanza wa kujiandaa na msimu.
Lakers watacheza mchezo huu bila wachezaji wao nyota – LeBron James na Anthony Davis kulingana na taarifa aliyotoa kocha wa timu hiyo.

Lakers watacheza michezo mingine mitatu baada ya huu kabla ya kuanza msimu rasmi kwa mchezo dhidi ya Clippers, Disemba 22 2020.
Akizungumzia mchezo wa leo, kocha wa Lakers – Frank Vogel amesema “Anthony, LeBron na baadhi ya wachezaji wageni ambao bado hawajawa tayari hawatocheza.
“Bado hatujafanya maamuzi ya wachezaji gani watacheza mchezo gani ukiacha kwa Anthony na LeBron ambao hawatocheza mchezo wa Ijumaa.”
LA Lakers watapambana na Phoenix mara mbili baada ya kucheza mchezo wa marudiano na Clippers siku ya Jumapili ikiwa ni michezo ya maandalizi ya msimu mpya.
MALIZA MWAKA KIBINGWA KWA KUJISHINDIA SHEA YAKO KWENYE SHILINGI 140,000,000TSH!!
Kipindi hiki cha sikukuu kinamalizika kwa namna ya kipekee. Shilingi 140,000,000 kushindaniwa katika michezo ya Evolution kwenye Kasino Mubashara ya Meridanbet. Ingia mchezoni na ujiwekee nafasi ya kushinda shea yako!!!



Sadick
msimu wa kuvutia wa NBA unakaribia hamu ya mashabiki ni kuona kama Lebron James ataiongoza vema LA LAKERS kuchukua ubingwa mara ya pili.
Adelta
Mechi ya Leo kazi kazi lazima kieleweke
Hopemwaikuka
Itakuaje hii
Dorophina
Msimu wa NBA unaanza na mechi kali sana
Tahiya
Hatarii sana
Sarah
Sasa itakuaje
Ernest
Kazi kazi, Lakers jeshii
Caroline
Lakers chama langu
Lydia Emmanuel Magoti
Nalikubali Sana hilo chama Lakers
Saupha mohamed
Ataliii
Fatina mfingi
Chama lawana
Rahma
Hatali na nusu
Issa
Lakers ni moto
lombo
bad news
felister
Lakers haijawai kuniangusha
warda
Pole yao
Tatu
Itakuwa poa
Magdalena
LA Lakers wanakwama wapi
aisha
Pole yake
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif meridianbet
Latifa juma mohamed
Litakuwa pigo kwa Lakers.
[email protected]
Noma sana
samiah
Pole yao
aisha
Duuuh noma sana