Vikosi na Odds za Ubashiri Chelsea vs Zenit St. Petersburg

Chelsea wanaanza rasmi kutetea taji lao la Ligi ya Mabingwa usiku wa leo wakiwa katika uwanja wa nyumbani dhidi ya timu Zenit St Petersburg kutoka Urusi.

Vikosi na Odds za Ubashiri Chelsea vs Zenit St. Petersburg

Ujio wa Thomas Tuchel darajani umeleta tumaini kubwa kwa The Blues baada ya kuonekana kupoteana walipokuwa chini ya Frank Lampard, kwani waliweza kufika fainali katika FA Cup, kumaliza nafasi ya nne na kuibuka mabingwa wa Ligi ya Mabingwa  kwa kuichapa 1-0 timu ya Manchester City.

Taarifa za Timu

Chelsea:
Chelsea itakuwa bila winga Christian Pulisic sababu ya tatizo la kifundo cha mguu wakati NGolo Kante pia atakaosa mechi hii sababu ya jeraha la kifundo cha mguu.

Jorginho anatarajia kurejea katika eneo la kiungo baada ya kuanzia benchi dhidi ya Aston Villa.

Zenit St Petresburg:
Mchezaji wa kimataifa wa Irani Sardar Azmoun anaongoza timu katika upachikaji mabao, ingawa fowadi mkongwe Artem Dzyuba, ambaye amefikia mabao 20 kwa kila misimu miwili iliyopita, ana uwezekano wa kukaa bila kufunga.

Zenit imejaa wachezaji wenye uzoefu, ikiwa ni pamoja na beki Yaroslay Rakitskiy, ambaye alicheza dhidi ya Chelsea katika hatua ya makundi iliyotajwa ya 2012-13 na Shakhar.

Vikosi na Odds za Ubashiri Chelsea vs Zenit St. Petersburg

Kikosi cha Chelsea Kinachoweza Kuanza: Mendy; Christensen, Silva, Rudiger; Azpilicueta, Kovacic, Jorginho, Alonso; Havertz, Lukaku, Mount

Kikosi cha Zenit St Petresburg Kinachoweza Kuanza: Kerzhakov; Sutormin, Chistyakov, Rakitskiy, Santos; Malcom, Wendel, Kuzyaev, Mostovoy; Azmoun, Dzyuba

Zifuate Odds hizi

Mechi kuisha kwa Chelsea kufunga (3-0) odds ni 6.20
Mechikuisha kwa sare ya (0-0) odds ni 15
Mechi kuisha kwa Zenit kufunga (1-0) odds ni 25

Ingia Hapa Kwa machaguo mengine mengi uyapendayo.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.