Mkuregenzi mkuu wa klabu ya Yanga Senzo Mbatha ambaye awali alikuwa mkuregenzi wa simba na Kaizer Chief ya Sauzi Afrika amemsifia, Haji Manara kuwa anauwezo mkubwa wa kuhamasisha mashabiki na wachezaji.
Senzo pia aliendelea kusema kuwa Manara anafanya kazi kubwa huku akijitoa zaidi katika klabu ili kuhakikisha mafanikio yanapatina.

Pia alitolea ufafanuzi kashfa dhidi yanga zilizotolewa na Rivers United ya Nigeria kuhusu kuwabambikia wachezaji wa River United kuwa na Uviko-19 alisema “Yanga haikuwa na uwezo wowote wa kuchakachua matokea ya vipimo vya Uviko-19, sababu zoezi zima linasimamiwa na serikali na wao hawana uwezo wa kuingilia maamuzi ya serikali.”
Pia aliongezea kuwa ni “swala la aibu na haiwekani sababu itakuwa kashfa kubwa kwa serikali na wizara ya afya pia.”
Kuhusu kuhusishwa na upilizwaji wa dawa na kumpiga mwandishi Senzo, alikanusha na kusema alichewa kufika na wakamsaidia kumsindikiza baada ya kuzuiliwa kuingia
Alipolizwa kuhusu kutoingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo huk kukihusishwa na madawa kupulizwa vyumbani alipinga na kusema hawana imani hiyo vyumba vilikuwa na tatizo la taa na kulikuwa kiza.
Manara awali alikuwa muhajiriwa wa simba, kabla ya kuwa na sintofahamu na mkurugenzi wa Simba, Babra na kupelekea kuishutumu klabu hiyo kuwa ikimdukua mawasiliaono yake.
Yanga, Mabingwa wa ngao ya hisani wanashika na nafasi 6, kwenye msimamo wa ligi baada ya kucheza mechi moja ya ligi dhidi ya Kagera Sugar na kushinda goli moja ambalo lili fungwa na Feisal Toto
SPACE SPIN NA MERIDIANBET.
Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.


