Tetesi za Soka Barani Ulaya.

 

Tetesi zinasema, Newcastle United inapanga uhamisho wa mlinzi wa kati wa Napoli Kalidou Koulibaly, 30.

Mlinzi wa Burnley James Tarkiwski, 28 anaweza kuwa mmoja wa wachezaji wa kwanza kusajiliwa na Newcastle, huku klabu hiyo ikiwa imemjadili mchezaji wa England Jesse Lingard.

 

Lingard+ United

Newcastle pia inavutiwa na mshambuliaji wa Paris St-Germain na raia wa Argentina, Mauro Icardi, ingawa Tottenham na Juventus pia zinamtolea macho mchezaji huyo mwenye miaka 28.

Juventus inaweza kuwa na nafasi ya kumsajili kiungo wa kati wa Ufaransa, Paul Pogba, ambaye mkataba wake na Manchester United uko mbioni kumalizika, ikiwa wataweza kuwauza takribani wachezaji wawili.

Tetesi zinasema, Liverpool wanapanga kujaribu kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa, Ousmane Dembele kwa uhamisho huru wakati mkataba wa mchezaji huyo na Barcelona mwisho wa msimu huu.

Leeds United wanaamini kuwa kiungo wa kati wa England Kalvin Phillips ataongeza mkataba wake na klabu hiyo kabla ya mwishoni mwa mwaka, wakati mazungumzo yakiwa kwenye hatua za mwishoni.

 

Tetesi zinasema, Manchester United wanajiandaa kuanza mazungumzo na mlinzi wa kati wa England Harry Maguire kuboresha masharti ya mkataba wa mchezaji huyo mwenye miaka 28.

Tetesi zinasema, Inter Milan wanamfuatilia mshambuliaji wa Arsenal Alexandre Lacazette,30, pia mshambuliaji wa Real Madrid Mserbia Luka Jovic, 23, kama machaguo ya mwezi Januuari.


SPACE SPIN NA MERIDIANBET.

Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.