Terence Crawford dhidi ya Shawn Porter ni pambano la kukata na shoka siku ya leo ambalo lilikuwa likisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa ndondi.

Terence Crawford hajaruhusu mtu yeyote kukaribia kutwaa mkanda wake wa ubingwa wa WBO uzito wa welterweight.
Alishinda mkanda huo kwa TKO dhidi ya Jeff Horn mwezi Juni 9, 2018, na ameulinda kwa TKO nne mfululizo, huku utetezi wake wa hivi majuzi ulikuwa ni Novemba 14, 2020, dhidi ya Kell Brook.
Shawn Porter anataka kubadili historia hiyo usiku wa kuamkia Jumapili Porter yeye anatetea mkanda wa WBC wa welterweight.
Porter ana majina mengi makubwa kwenye wasifu wake, ambayo yamemfanya kupigana hadi rekodi ya 31-3-1 na knockout 17. Alishinda kwa mara ya kwanza taji la IBF uzito wa welter mwaka 2013 dhidi ya Devon Alexander kabla ya kupoteza mapambano mawili baadaye mwaka 2014 dhidi ya Brook.
Alipigana na kumpoteza Keith Thurman kwa taji la WBA uzito wa welter mwaka 2016 na akashinda mkanda wa WBC uzito wa welter mwaka 2018 dhidi ya Danny Garcia, kabla ya kuupoteza katika pambano na Errol Spence Jr. katika pambano la IBF uzito wa welter mwaka 2019.
Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.


