Jose Bordalas Aihoji La Liga Kuhusu Barcelona

Kocha wa klabu ya Valencia Jose Bordalas ameihoji La Liga kuhusu sheria ya “Fair Play” inafanyaje kazi kutokana na sakata la usajiri wa Ferran Torres

Barcelona wamekamilisha usajiri wa Ferran Torres katika dirisha hili lilofunguliwa mwezi huu, ingawa bado hawajamsajiri kwenye hati ya malipo ya mishahara kutokana na sheria za La Liga za ukomo wa malipo wakati klabu ya Valencia haiwezi kusajiri kutokana kuwa kwenye tatizo sawa na Barcelona.

Jose Bordalas
Jose Bordalas

Kwa hali waliyona klabu ya Barcelona ilikuwa ngumu kwao kuweza kufanya usajiri wa pesa nyingi namna ile, na hicho ndicho Jose Bordalas alihoji kwenye mkutano wake na waandishi wa habari.

Barcelona wana deni la EURO 300 million na wamemsajiri Ferran Torres, haki ya mchezo uko wapi?

Jose Bordalas

Sababu ambayo Barcelona wameweza kufanya usajiri mkubwa wa kumsajiri Torres ni baada ya kuchukua mkopo mkubwa hivi karibuni

Ingawa klabu ya Barcelona wameweza kupunguza kiwango chwa mishara kwenye hati ya malipo msimu huu, kutokana na matumizi makubwa na kupungua kwa faida Barc hawawezi kumsajiri Torres mpaka waruhusu kuuza baadhi ya wachezaji.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.