Kocha mkuu wa timu ya taifa ya jamhuri ya watu wa Ireland Stephen Kenny ameongeza mkataba wa kuifundisha timu hiyo mpaka mwaka 2024 chama cha soka “Football Association of Ireland’ (FAI) kimethibisha hilo.
Stephen Kenny ataendelea juifundisha timu hiyo kwenye michezo ya Uefa European Championship, Pia mikataba mipya ya makocha wasidizi na benchi la ufundi imekubaliwa ambapo, Keith Andrews, Dean Kiely, Stephen Rice na Damien Doyle nao wamesini mikataba mipya.
“Mitazamo ya wachezji imekuwa ya kipekee, tumekuwa tukikuwa pamoja na kuwa timu moja na mimi, pamoja na keith Andrews na benchi lote la ufundi, natumai kuona timu ikitimiza ndoto zake.” Alisema Kenny
“Kurudi kwa mashabiki hivi karibuni viwanjani, nataka kuutambau ule umuhimu wa hisia za mashabiki wa Ireland wakiwa nyumbani au ugenini.”
Mchongo mpya mjini ni Shindano la Evoplay Spring Aweking katika kasino maridhawa za meridianbettz. Pata mgao wako wa TSh 25,000,000 katika michezo kibao ya kasino na sloti ziliyochaguliwa kushiriki.


