Mabosi wa PSG Wamemchoka Neymar?

Winga wa zamani wa Barcelona, ​​Neymar Junior anaweza kuandamwa na mshike mshike wa kusepa Paris Saint-Germain.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 sasa amekuwa PSG kwa miaka mitano, akifunga mara 60 katika mechi 83 za ligi.

Mabosi wa PSG Wamebadili Mtazamo kwa Neymar?

Mbrazil huyo amewasaidia wababe hao wa Ufaransa kushinda mataji matatu ya Ligue 1 na mataji mengine mengi. Lakini hajaweza kuwasaidia PSG kupata kombe wanalotaka zaidi la UEFA Champions League.

Iko wazi kuwa PSG kwa sasa angalau wanaweza kusubiri kwa mwaka mwingine hadi PSG watakapochoka kusubiri.

PSG lilichapwa dhidi ya Real Madrid Jumatano kwa kipigo cha mabao 3-2 kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu.

Neymar mchezo huo ulikuwa mgumu kwa Neymar, huku kukiwa na mazungumzo kuwa Mbrazil alonesha dalili za hasira kwenye chumba cha kubadilishia nguo baada ya mchezo.

Kwa mujibu wa Romain Molina kupitia Sport, PSG sasa wanataka kumuondoa Neymar Junior.

Mabosi wa klabu ya Qatar wanasemekana kuchoshwa na mtazamo wa Neymar kuwa ataweza kujiboresha na kutoa matokeo mazuri kwenye michezo kama hii.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 bado yuko chini ya mkataba wa miaka mingine mitatu, lakini inaonekana mustakabali wake unaweza kuwa shakani.


VUNA MKWANJA NA SHINDANO LA EVOPLAY SPRING AWEKING

Mchongo mpya mjini ni Shindano la Evoplay Spring Aweking katika kasino maridhawa za meridianbettz. Pata mgao wako wa TSh 25,000,000  katika michezo kibao ya kasino na sloti ziliyochaguliwa kushiriki.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.