Dallas Mavericks - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

LA Clippers Wameitoa Dallas Mavericks

Basketball

Anga la NBA linaendelea kutimua vumbi kwa michezo ya Mtoano (Play-Off). LA Clippers walikuwa uwanjani kukipiga dhidi ya Dallas Mavericks jijini Orlando, Florida. LA Clippers wafuzu hatua ya pili kunako …

NBA: Bucks na Mavericks Wametoka Kimasomaso

Basketball

Katika muendelezo wa michezo ya NBA 2020/21. Milwaukee Bucks na Dallas Mavericks, wametoka kimasomaso katika michezo yao waliyocheza usiku wa kuamkia leo. Bucks wakiongozwa na Giannis Atentokounmpo, waliwalaza Indiana Pacers …

Warriors Bingwa Western Conference

Basketball

Fainali ya NBA 2022 inanukia, timu ya kwanza imeshajulikana. Ni Golden State Warriors, mabingwa wa Western Conference 2022. Warriors wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa fainali ya Western Conference baada ya kuwaburuza …

Warriors Wapindua Meza California

Basketball

Fainali ya Western Conference kunako NBA inaendelea kunoga kati ya Golden State Warriors na Dallas Mavericks. Vijana wa Kerr wanajambo lao msimu huu. Baada ya kuwa na msimu mbaya mwaka …

NBA: Antentokoumpo Awaadhibu LA Lakers.

Basketball

Burudani ya mchezo wa kikapu inaendelea viwanjani. Msimu wa 2021/22 kunako NBA ni visa na mikasa. Vipigo vya kila namna kwa wasiotegemewa kupoteza michezo. Milwaukee Bucks walikuwa uwanjani kuchuana na …

NBA: Warriors Gari Limewaka!

Basketball

Ni wiki ya 2 kunako Ligi ya NBA nchini Marekani na timu mbalimbali zimeendelea kuonesha uwezo viwanjani. Hakika, Golden State Warriors gari limewaka! Baada ya kuwacharaza LA Lakers kwenye mchezo …

Jordan Asajiliwa Los Angeles Lakers.

Daily News

  Klabu ya Los Angeles Lakers wamesajili rasmi mkongwe DeAndre Jordan kwenye orodha yao, baada ya kutangaza rasmi jana [Alhamisi] usiku.   Masharti ya usajili huo hayajatolewa, ingawa jarida la …

NBA: Hawks Yawazidi Kete 76ers.

Basketball

NBA imefikia kwenye hatua yenye burudani lukuki. Hatua ya nusu fainali inaendelea kurindima kwenye viwanja kadha wa kadha. Atlanta Hawks, yawalaza na viatu Philadelphia 76ers kunako mchezo wa kwanza wa …

NBA: Miami Heats Yafuzu Play-Offs.

NBA

Hatua yenye burudani kunako Ligi ya NBA huwa ni michezo ya mtoano (play-Offs). Huku ni timu 2 kuchuana mara 7, hakuna kubahatisha! Miami Heats wamefuzu hatua hiyo. Katika muendelezo wa …

NBA: Curry Aweka Rekodi Warriors.

Basketball

Burudani ya ligi ya NBA mara zote inaendana na kufikiwa/kuwekwa au kuvunjwa kwa rekodi kadha wa kadha. Jumatatu hii, Stephen Curry ameweka rekodi ndani ya timu yao ya Golden State …

NBA: Warriors Hali Mbaya 2020/21!

Basketball

Hali sio shwari kwenye timu ya Golden State Warriors msimu huu kunako NBA. Idadi ya michezo wanayopoteza inazidi idadi ya michezo wanayoshinda, kulikoni?? Usiku wa kuamkia leo, Warriors walikuwa uwanjani …

LeBron James, Shujaa wa Lakers.

Basketball

Muendelezo wa NBA 2020/21 mambo yanaendelea kushika kasi siku baada ya siku. Usiku wa kuamkia leo, LeBron James ameendelea kuwa shujaa wa LA Lakers. Lakers walikuwa uwanjani kuchuana na Oklahoma …

1 2