Katika muendelezo wa michezo ya NBA 2020/21. Milwaukee Bucks na Dallas Mavericks, wametoka kimasomaso katika michezo yao waliyocheza usiku wa kuamkia leo.
Bucks wakiongozwa na Giannis Atentokounmpo, waliwalaza Indiana Pacers kwa pointi 130-110. Giannis akimaliza mchezo kwa kupachika “triple double” (pointi 21, pasi 10 na mipira 14 iliyokufa)
Upande wa pili, Dallas Mavericks wamekata kamba ya kupoteza michezo 6 mfululizo kwenye NBA msimu huu. Mavericks wamewalaza Atlanta Hawks kwa pointi 122-116.
Luka Doncic alikuwa shujaa wa Mavericks kwa kupachika “double-double” (pointi 27 na pasi 14 za magoli).
Matokeo ya michezo iliyochezwa Jumatano usiku:
Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.
Lydia Emmanuel Magoti
Safiii
Sania
Mechi ilikuwa ngumu kwa kila timu
Adelta
Hii ilikuwa ngumu kumeza
Magdalena
Haikuwa bahati kwao
Rahma
Vizuri
Caroline
Hongera zao
Khadija
Hongera sana
Dorophina
Pongezi kwao
Venerose
Safi sana
Ernest Kimeru
NBA ya moto sana msimu huu
Issa
Wababe hawa
Hopemwaikuka
Wametisha
Sarah
Pongezi kwao
warda
Naikubali sana bucks