Tom Brady amewashangaza wachezaji wenzake wa NFL kufuatia uamuzi wa kukubali kupunguzwa mshahara asilimia 20.
Kama sehemu ya vita inavyoendelea dhidi ya COVID-19 na athari zake kwenye mchezo huo, NFL imehimiza wachezaji kukubali sera mpya ambayo inapunguza kiwango cha mshahara kwa asilimia 20 kwa msimu wa 2021 na inasaidia kupunguza ‘presha’ kwenye ligi na wawekezaji.
Mpaka sasa tayari kuna kiwango fulani cha hasira ka tika ligi na timu zinawaomba wachezaji kufanya punguzo la mshahara kufuatia COVID-19, lakini hiyo ilidhihirika zaidi siku ya Alhamisi ilipoibuka kuwa NFL ilikuwa imesaini makubaliano makubwa ya runinga ambayo yalikuwa yakiona thamani ya muwekezaji ikiongezeka kwa wastani asilimia 14.
Wachezaji walikubaliana kupunguzwa kwa asilimia 20 kwa uelewa kuwa mapato yalipotea wakati wa janga hilo, lakini je! Franchise na wamiliki wao tayari matajiri wameweza kupata pesa kwa wakati huo?
Hili lilikuwa suala ambalo halikushughulikiwa na Chama cha Wacheza NFL katika mazungumzo haya ya hivi karibuni, na ilimwacha Brady akiwa wazi.
“Mshahara ulipunguzwa kwa asilimia 20 na mkataba mpya ya vyombo vya habari ilitangazwa siku BAADA ya mshahara ya 2021 kuwekwa,” Brady alitangaza.
“Wachezaji wa NFL bora waamke. Wachezaji wa NFL ni WAJINGA.”
Unawezaje kuikosa hii! Ndani ya kasino za meridianbet kuna mchezo unaoweza kukupa mkwanja mrefu leo hii, Wild Hot 40 ni njia nyingine ya kukufanya milionea, Chagua namba yako na uvune mkwanja.
Sarah
Duhh