Anthony Joshua anaonekana kuwa fiti katika maandalizi ya pambano lake la mwaka dhidi ya Kubrat Pulev.
Joshua atakuwa anaingia kwenye pambano lake la kwanza mwaka huu kuutetea ubingwa wake wa dunia wa ndondi za uazani mkubwa – Heavyweight – dhidi ya Pulev Disemba 12.
AJ amekuwa nje ya ulingo tangia mechi yake ya mwisho mwaka jana, ambayo alifanikiwa kurejesha ubingwa wa WBA, IBF, WBO, na IBO kutoka kwa Andy Ruiz Jr.
Ikiwa Anthony Joshua atashindwa pambano hilo, kisha Tyson Fury naye akashinda pambano lake wiki moja kabla ya AJ, nasi milango ya wawili hawa kukutana tena mwakani utakuwa wazi.
Anthony Joshua kwa sasa ameelekeza majeshi yake kwenye pambano dhidi ya Pulev kwanza, ambalo ni la awali kisha mipango mingine itaendelea baada ya ushindi.
AJ anapigiwa upatu kushinda pambano hili na kulinda taji, licha ya ukweli kuwa pambano hili ni gumu pande zote zikiwa zinajinoa vilivyo.
Licha ya Anthony Joshua kuwa mapumzikoni kwa mda mrefu mwaka huu, bado anaonesha kuwa na spidi na morali ya kufanya makubwa ulingoni.
AJ anaenda kuvaana na Pulev mwenye rekodi ya kupoteza pambano moja tu katika mapambano yake 28.
Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!
Adelta
Good news tv
Fatuma kasomo
Asante kwa taarifa meridianbet
Lydia Emmanuel Magoti
Pata chimbika pambano lanamna yake
Khadija
Pamabano litakuwa bomba sana
Elika
Safi sana kijana hapo atakuwa na mda mzuri wa kujipanga kikamilifu
Magdalena
Mtanange unao subiriwa kwa hamu kubwa
Tatu
Pambano litakuwa kali
Saupha mohamed
Pambono litakua nomaa
Angelina
Anython yuko juu
Mwajumah
Pambano litakua la kukata na shoka ilo
Dorophina
Mtanange huu sio wa kitoto
Sabrina
Pambano la kibabe
felister
pambano kalii
Janeflora malisa
Safi
Ester jackson
Hili pambano litakuwa lini jamani
Rahma
Asante kwa talifa ya meridian bet
Shani
Joshua ngumi jiwe
Zeiyana
Joshua yupo viti sana kwenye michezo hii tunasubiri kuona ushindi tu
Povel
Masubiwi mambo ni moto
Issa
Joshua ana rekod za kibabe na ni bondia mzuri sana na rekod zake zinajieleza