Fury Amzidi Kg 20 Wilder Kuelekea Pambano Lao Leo Usiku

Usiku wa kuamkia Jumapili Tyson Fury atakabiliana na bondia Deontay Wilder likiwa ni pambano lao la tatu baada ya kupigana hapo nyuma na Fury kushinda mapambano yote mawili, sasa kuelekea pambano lao wamepima uzito na Fury ameonekana amemzidi mpinzani wake kilogram 20.

Fury Amzidi Kg 20 Wilder Kuelekea Pambano Lao Leo

Fury atakuwa akitetea mkanda wake wa WBC dhidi ya Wilder ambaye atakuwa na fursa nyingine ya kujiuliza alikuwa akikosea wapi.

Wilder alipima na kupatikana na kg 107 wakati bondia kutoka Uingereza Fury alikuwa na kg 127.

Ikumbukwe katika pambano lao la kwanza Wilder alikuwa na kiligramu 96 wakati huo Fury alikuwa kilogramu 116, vilevile katika pambano lao la pili Wilder alikuwa amefikisha kg 104 wakati Fury alikuwa na uzito wa kg 123.


SPACE SPIN NA MERIDIANBET.

Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.