Njomba wa Mayweather Jr, Jeffy Mayweather amemsimfu sana bondia kwa kukua katika mchezo wa ndondi na akithubutu kumringanisha na mpwa wake.
Saul Canelo Alvarez anajiandaa kukabiliana na Dmitry Bivol siku ya Mei 7 katika ukumbi wa T-Mobile Arena huko Las Vegas.
Canelo anakumbukumbu ya kupoteza mara moja pekee na alipoteza kwa Mayweather ambaye alishinda kwa pointi mwaka 2013
Kwa muda mrefu Canelo amekuwa akikosolewa kwamba anachagua wapinzani ambao ni dhaifu.
“Namuona Floyd sana kwa Canelo,” alisema kwenye mahojiano na Thaboxingvoice. “Kimsingi kwa jinsi anavyosonga Canelo mwanzoni hakuwa bondia tegemeo lakini sasa hivi wa moto ana vitu vyake lakini ana kazi kubwa namuona Floyd sana. . Sio lazima chochote, lakini ninahisi kama alichukua vitu vyake pia.”
SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI
Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.