Mayweather Anaweza Kurejea Ulingoni Huko Dubai

Bondia mstaafu Floyd Mayweather anaweza kurejea ulingoni kwa kuzichapa na Badou Jack huko Dubai na alisema kwamba mazungumzo yanaendelea kwaajili ya kufanikisha tukio hilo.

Mayweather Anaweza Kurejea Ulingoni Huko Dubai

Mazungumzo kuhusu pambano lake na bondia Money Kicks yalibuma mwezi Disemba lakini sasa Jack atachukua nafasi hiyo.

“Dubai ni sehemu nzuri sana, kila mtu anaipenda Dubai Mayweather mara nyingi yupo huko nitaenda kuwa sehemu pambano,” Jack aliiambia SunSport

“Kila mtu anataka kutengeneza pesa na kila mtu anapenda kuwa kwenye mapambano makubwa, hatuna ukakika ni siku gani hili litaenda kufanyika juu kabisa kwenye jengo la Burj Al Arab.

“Mayweather ni jina kubwa ulimwenguni kote na watu wanampenda, pesa inaongea yeye ni Mfalme wa pesa Money Mayweather.

“Tutaangalia ni kitatokea lakini tunaifanyia kazi hakuna kilichothibitishwa lakini tunaifanyia kazi”.


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe