Ansu Fati Aondolewa Kwenye Kikosi cha Barcelona

Ansu Fati alikuwa akitarajia kucheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Granada siku ya Jumatatu baada ya kukaa nje ya dimba kwa miezi 10 sababu ya jeraha alilopata lakini imekuwa ni mapema sana kwa kinda huyo na kupelekea kuondolewa kwenye kikosi cha Barcelona.
Ansu Fati Aondolewa Kwenye Kikosi cha Barcelona
Ansu Fati akiwa mazoezini

Lakini The Blaugrana wanatumaini la kupata huduma ya kinda huyo wa miaka 18 kwenye mchezo wa LaLiga dhidi ya Cadiz siku ya Alhamisi ijayo.

Wote kocha na timu ya matibabu wanataka kwenda hatua kwa hatua mpaka Ansu Fati awe sawa sawa kufuatia kufanyiwa operesheni tatu kwenye mguu wake.

Goti la Fati sasa linaendelea vizuri na malengo sasa ni kumpatia kujiamini na kurejea kwenye njia yake ya utupiaji mabao tena.

Mwanzoni iliionekena Ansu Fati anaweza kucheza mchezo wake katika wiki ya nne ya LaLiga kwa mechi ya Barca dhidi ya Sevilla mchezo ambao ulihairishwa wiki iliyopita.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.