Pierre-Emerick Aubameyang aling’aa kwenye mchezo wa Barcelona dhidi ya Valencia siku ya Jumapili katika dimba la Estadio Mestalla kwenye mtanange wa LaLiga Santander.

Aubameyang Afungua Akaunti ya Mabao Barcelona

Barcelona iliifunga Valencia mabao 4-1 magoli yaliyowekwa kimiani na Aubameyang akifunga mara mbili, Luke de Jong na Pedri wakati goli la kufutia machozi la Valencia lilifungwa na Calos Soler.

Pierre-Emerick Aubameyang amekuwa ni mchezaji wa pili wa FCBarcelona kufunga mabao mawili katika mchezo wake wa kwanza wa LaLiga katika karne hii ya 21, baada ya Francisco Trincão kufanya hivyo dhidi ya Alavés Februari 2021.

Barca sasa imepanda mpaka nafasi ya nne wakiwa na jumla ya alama 42 nyuma ya Real Beatis baada ya michezo 24.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa