Kocha mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp amemwagia sifa nyingi mchezaji mpya wa klabu hiyo Luis Diaz baada ya kufunga katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Norwich siku ya Jumamosi huko Anfield.

Diaz alipata fursa nyingine ya kucheza na kikosi cha kwanza baada ya kukosekana kwa wachezaji Roberto Firmino na Diogo Jota sababu ya majeraha hivyo alianza na Mohamed Salah na Sadio Mane ambao pia wamerejea baada ya kumalizika kwa michuano ya AFCON.
“Tumeona sasa michezo miwili Luis akicheza alipotoka au kucheza ambapo alikuwa mzuri kabisa,” alisema Klopp.
“Leo ilikuwa kazi ngumu kwake pia, ilikuwa ngumu, kukutana kwa shida. Hivyo basi kukaa uwanjani, kukaa kwenye mchezo kunaonyesha ubora halisi kwa sababu tulibadilisha mfumo na kumleta Luis katikati na Sadio kwenye nafasi yake asilia.
Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.


