Coutinho: Nili 'Miss' Premier League

Philippe Coutinho amesema kwamba aliikumbuka sana ligi ya Premia baada ya mchezaji huyo mpya wa Aston Villa kucheza mechi yake ya kwanza na kufunga goli la kusawazisha katika mchezo wa sare siku ya Jumamosi dhidi ya Manchester United.

Coutinho: Nili 'Miss' Premier League

Mashetani wekundu walikuwa mbele kwa bao 2-0 kabla ya Coutinho kuingia katika dakika 68 dakika ya 77 Coutinho alimtengenezea Ramsey goli la kwanza kwa Aston Villa dakika tano baadaye Coutinho akaweka kambani bao la pili na kufanya ubao kusoma 2-2 baada ya dakika 90 za mchezo.

Ilikuwa ni njia thabiti kwa Coutinho kushrekea kurejea kwake katika ligi ya Uingereza baada ya kutumia miaka minne kuwa na Barcelona baada ya kuhama akitokea Barca.

“Nilimiss michezo hii na Premier League. Nina furaha sana kuwa hapa na wachezaji wenzangu wapya,” Coutinho aliambia Sky Sports.

“Ulikuwa mwanzo mzuri, tuliendelea kuamini hadi mwisho, lakini hatukupoteza.”


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe