Serikali ya Australia haikuonesha dalili zozote za kulegeza pale ilipokuwa ikishughulika na Novak Djokovic alipokuwa akijaribu kushiriki michuano ya wazi ya Australia wiki hii bila kupata chanjo na Mserbia huyo tayari amerudishwa nchini mwake.
Mahakama ya shirikisho siku ya Jumapili ilitupilia mbali ombi la Novak Djokovic kutaka visa yake kurejeshewa baada ya kufutwa kwa mara ya kwanza na Jeshi la Mpakani la Australia katika uwanja wa ndege wa Melbourne, na hivyo kuzua mzozo unaoendelea kati yake, wawakilishi wake na Australia..
Djokovic alikuwa amewasili Australia mwezi Januari 5, akiamini kuwa visa yake ilitolewa mwezi Novemba 18 na msamaha wa matibabu ulioidhinishwa na jopo la serikali ya Victoria na Tenisi Australia.
Mara ya pili visa yake imebatilishwa, mcheza tenesi namba moja duniani anaweza kupata marufuku ya miaka mitatu ya kurejea Australia.
Hii inaweza kumfanya Djokovic kukosa kufuzu kwa Australian Open na Kombe la ATP katika miaka ijayo.
Kwa mujibu wa sheria za Australia ukifukuzwa mara mbili inapelekea kufungiwa miaka mitatu kuingia nchini humo.
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.
CHEZA HAPA