Hatimaye Ramos Kucheza Mechi ya Kwanza PSG

Sergio Ramos Anajandaa kucheza mchezo wake wa kwanza na klabu ya Paris Saint-Germain baada ya kutajwa katika kikosi kitakacho menyana na Manchester City siku ya Jumatano katika mchezo wa Ligi ya Mbingwa.

Hatimaye Ramos Kucheza Mechi ya Kwanza PSG

Tangu alipotua Parc des Princes kwa uhamisho wa bure akitokea Real Madrid Ramos hajaweza kucheza mchezo hata mmoja sababu ya kusumbuliwa na jeraha.

Beki huyo kisiki wa kati alicheza mara ya mwisho ilikuwa ni katika michuano ya Ligi ya Mbingwa dhidi ya Mabingwa wanaoshikilia taji hilo Chelsea mchezo ambao Madrid walipoteza darajani.

Kocha mkuu wa PSG Mauricio Pochettino alithibitisha kwamba Ramos yupo mbioni kuanza kucheza pamoja na beki mwenzie Marquinhos ambaye alikosa mchezo dhidi ya Nantes.

Mchezo wa awali wa PSG dhidi ya Man City ulikwenda kwa 2-0 ambapo vijana wa Pochettino waliondoka na alama tatu muhimu magoli yakifungwa na Lionel Messi.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.