Lionel Messi amesema kwamba timu ya Argentina ilitaka kushinda dhidi ya Chile kwani ilikuwa “Mechi Maalumu” ambayo ni ya kufuzu kucheza kombe la Dunia ili kumuenzi Diego Maradona siku ya Alhamisi.

Messi: Tulitaka Kumuenzi Maradona kwa Ushindi

Gwiji wa Argentina na Napoli anakumbukwa kwa upana moja ya wanasoka wakubwa ulimwenguni, alifariki akiwa na umri wa miaka 60 baada ya kusumbuliwa na moyo kushindwa kufanya kazi mwezi Novemba mwaka jana.

Goli la penati lilifungwa na Messi dakika ya 24 lilisawazishwa na Alexis Sanchez dakika 12 baadaye na mechi kuisha kwa sare ya 1-1 ikiwa ni mchezo wa kwanza kwa Argentina tangua Maradona kufariki.

Messi, Messi: Tulitaka Kumuenzi Maradona kwa Ushindi, Meridianbet
Lionel Messi akishangilia baada ya kufunga dhidi ya Chile

 

“Ilikuwa mechi maalum sana kwa sababu ilikuwa ya kwanza bila Diego,” Messi alisema baada ya mechi.

“Tunajua timu ya taifa ilimaanisha nini kwake, hata ikiwa hakuwepo uwanjani, alikuwepo kila wakati.

“Kwa kuwa wa kwanza bila yeye na kwa sababu ya kila kitu kinachotokea nchini na ulimwenguni. Inasikitisha pia kwamba hakukuwa na umma.

“Tulitaka kumpa ushindi Diego na kuwakilisha timu ya taifa kama kawaida, akiacha kila kitu nyuma, lakini lazima tuendelee.”


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

 

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa